Vita vya Mtandaoni kati ya Tanzania vs Kenya ina lengo gani?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,903
7,674
Kumekuwa na vita ya maneno mtandaoni hasa hapa JF kati ya Wakenya na Watanzania wakishindanisha baadhi ya miji ya Kenya na ile ya Tanzania kwa ubora wa miundombinu na Mengineo.

Vita hii imefika mbali zaidi walipofananisha KDF na TPDF, je nini lengo na madhara ya vita hivi vya maneno mtandaoni?
 
Lengo bilashaka nikuleta madhara na madhara ni kuzichapa au kukata mawasiliano.
 
Upuuzi tu. Afrika mashariki yote ile ile tu. Hakuna afadhali. Kujikweza kipumbavu tu
 
Mleta mada ndo mchonganishi. East Africa sote nu ndugu. Wakenya ni ndugu zetu na tunawapenda sana.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
utalinganishaje KDF na TPDF?...KDF unatakiwa kuwalinganisha na jeshi la polisi la Tanzania. nao wakifanya mchezo watawapiku mbali.
 
Tunataka kuwaonesha hata sisi ni nyang'au zaidi yao ili wajue unyang'au haufai na waache kufanya unyang'au kwenye rasilimali za.majirani zao
 
Hapa kiukweli kuna kaujinga ka watz na wakenya. Mwanza kuifananisha na Kisumu ili iweje hata ikifanana au mmoja kuzidiwa na mwingine shida zako zitakuishia?. Mie nawalaumu hawa jf mada kama hizi zisipate nafasi vile zinapandikiza vitu amabvyo baadae athali yake yaweza kua mbaya
 
Hapa kiukweli kuna kaujinga ka watz na wakenya. Mwanza kuifananisha na Kisumu ili iweje hata ikifanana au mmoja kuzidiwa na mwingine shida zako zitakuishia?. Mie nawalaumu hawa jf mada kama hizi zisipate nafasi vile zinapandikiza vitu amabvyo baadae athali yake yaweza kua mbaya
Athari hizo zipo wazi nafuatilia hii mijadala ya tanzania na kenya ni wazi kuwa wale watanzania tuliowazoea sasa wamebadilika sana
 
malofa wa tz vs malofa wa ke..
..wakwanza kwa upande wa tz ni ww mleta mada...lengo ni ushindani wa kimaendeleo hakuna jingine
 
Hakika wewe ni mchochezi. Bora uishie hapo. Ukisogea hata hatua moja ni hatari kwa amani ya eneo la maziwa makuu.
 
Back
Top Bottom