Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari alfajiri hii, kuna uwezekano mkubwa vita vikazuka kati ya Korea kaskazini na Marekani mpaka Korea Kusini. Vyombo vya habari vimekariri wizara ya ulinzi ya Marekani kuwa inalichukulia tishio la Korea Kaskazini kwa uzito mkubwa baada ya jana rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kusaini nyaraka za kuidhinisha maroketi kuishambulia ardhi ya Marekani.
Hata hivyo, the Pentagon imesema haina uhakika kama Korea Kaskazini inao uwezo na silaha za kushambulia Washington, Hawaii, Los Angeles na Austin, Texas.
Hata hivyo, the Pentagon imesema haina uhakika kama Korea Kaskazini inao uwezo na silaha za kushambulia Washington, Hawaii, Los Angeles na Austin, Texas.