USA, ilipombutua yule general wao, Qasseim suleiman, Iran walipotaka kulipiza kisasi, kabla, hawajapiga kombora kambi ya jeshi LA USA pale Iraq, waliwapa US taarifa kwanza, through back channel, Ila watu kama wewe, huwezi, jua hili,
Hata hayo ma kombora waliorusha Qatar, kwanza, hayajeleta madhara, pili yalidunguliwa juu kwa, juu na mifumo ya ulinzi, wa anga ya Qatar.
MTU mweusi shida Sana, Israel inaua watoto na wanawake,wa, kipalestina, Ila mkristo wa bongo, anakuambia Israel ni taifa LA Mungu!
Mbongo Muslim, mweusi, weusi, wenzie kule Sudan wakiuliwa na mwarab, hakuna shida, Ila mwarab wa mashariki ya Kati akiuliwa na US, Israel, mishipa inamtoka balaa, hapa bongo, Samia Muslim, akiua Muslim kama mzee kibao, wa Islam kimya,Mkapa alipoua wa Islam wa mwembechai, balaa