huyu mama malechela si jana walisema alitoka UK kwenda dodoma kugawa mshiko, leo anasema alikuwa New York? hakujua kama mwanae Baharia alisharudi Mvumi kijijini
Mama anataka kuwa mwenyekiti UWT na mtoto baharia anataka kuwa mbunge wa Afrika Mashariki, dada anataka kuwa katibu mkuu Afya; Tingatinga family wanataka kutawala wadanganyika baada ta TINGATINGA kukosa urais!!!This can only happen in bongoland!
tunadumisha amani na mshikamano mbona familia ya Bush ilitawala marekaniMama anataka kuwa mwenyekiti UWT na mtoto baharia anataka kuwa mbunge wa Afrika Mashariki, dada anataka kuwa katibu mkuu Afya; Tingatinga family wanataka kutawala wadanganyika baada ta TINGATINGA kukosa urais!!!This can only happen in bongoland!
simpendi kabisa ANNA KILANGO
Mama anataka kuwa mwenyekiti UWT na mtoto baharia anataka kuwa mbunge wa Afrika Mashariki, dada anataka kuwa katibu mkuu Afya; Tingatinga family wanataka kutawala wadanganyika baada ta TINGATINGA kukosa urais!!!This can only happen in bongoland!
Hivi UWT huwa ni nini?