Vita Kuu ya Tatu ya Dunia yanukia (WW3)

Vita Kuu ya Tatu ya Dunia yanukia (WW3)

Trump ajitangaza duniani na vita za kitoto hit and run
Anarusha makombora then anakimbia
Karuaha Syria kakimbia, karusha Afghanistan, now anataka arushe north Korea harakaharaka akimbie hizo ni style za kihuni, urusi umemshitukia imemuonya!
Historia inasema Sababu kubwa ya marekani kuimarika kiuchumi Duniani ni kutokushiriki kwake moja kwa moja WW1 na WW2. Nahisi anataka aanzishe kisha akae pembeni ili ampoteze mchina kiuchumi
 
Umeona mbali, anataka adandie mgongoni mwa mchina!
Na mchina akiingia mkenge tu kaliwa upande wote Wa Asia USA atawatifua!
 
Back
Top Bottom