Nimesoma replies za watu wengi kuhusu hili bandiko,inaelekea wengi hawajui kinachoendelea duniani.Ingawa huna ushahidi wowote kuhusu dai lako kwamba vita ya tatu ya dunia itatokea wakati wowote,lakini dai lako ni kweli.Maandalizi ya WWIII yamekuwepo kwa muda mrefu sana hasa na Marekani, na yako kwenye very advanced stages.Upo ushahidi mingi, lakini wale ambao wako interested wanaweza ku-google "US Military Press Conference:World War III with Russia ...."Hii ni Press Conference very recent. World War III itakuwepo,hiyo haiepukiki, cha kujiuliza ni kwamba how will you protect yourself.