Vita Kuu ya Tatu ya Dunia yanukia (WW3)

Vita Kuu ya Tatu ya Dunia yanukia (WW3)

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
826
Reaction score
450
Baada ya Wazee wa vita kuanza kufanya maandalizi ya Kuichapa Korea Kaskazini na baada ya wazee hao wa vita kufanya majalibio ya MOAB, Dalili zinaonyesha wazi kabisa nchi kumi zenye mabomu ys nuclea zimeanza kujiandaa kuingia vitani,

Hii vita ya tatu ya Dunia ya safari hii itakua ni balaa. Sasa na huu ugumu wa maisha tulionao nahisi tujiandae kula nyasi.
 
Hakuna vita hapo! Korea kaskazini wana technology ya kurusha nuclear missile!! Walisha soma mchezo wote wamarekani for more than 12 years ago! USA wana technology ya ku capture nuclear weapons bila effect yoyote..!!!! Ukiona marekani kaamua kufanya kitu, mchezo ulisha isha kitambo
 
Vita ya Tatu ya dunia kutokea ni ngumu,
Ilipaswa kutokea 1950s Hapo hapo Korea penusula lkn ashukuliwe Gen Stalin kutokupeleka wanajeshi wake Kuisuport North Korea.
Tunapozungumzia WW3 tunazungumzia nuclear war, dunia nzima itarudi kuwa kama zama za kale za mawe, itatuchukua miaka zaidi ya 1000 kurudi hapa tulipo Sasa. Tusiombe itokee ktk uhalisia wake...
 
Dunia ya sasa uctegemee kama vita ya tatu itatokea.hata hao marekan wnyewe wanajua athari ya vita that's why hawataki hata kombora moja nidondoshwe kwnye ardhi yake.ivi mnakumbuka enzi ya vita baridi ile Cuba missiles crises kama sikosei.asa chukulia kpndi kile hali ilikuwaje na vita haikutokea sembuse leo
 
Baada ya Wazee wa vita kuanza kufanya maandalizi ya Kuichapa Korea Kaskazini na baada ya wazee hao wa vita kufanya majalibio ya MOAB, Dalili zinaonyesha wazi kabisa nchi kumi zenye mabomu ys nuclea zimeanza kujiandaa kuingia vitani,

Hii vita ya tatu ya Dunia ya safari hii itakua ni balaa. Sasa na huu ugumu wa maisha tulionao nahisi tujiandae kula nyasi.
Nyasi utazitoa wapi wakati mvua zenyewe za mawenge
 
Hakuna vita hapo! Korea kaskazini wana technology ya kurusha nuclear missile!! Walisha soma mchezo wote wamarekani for more than 12 years ago! USA wana technology ya ku capture nuclear weapons bila effect yoyote..!!!! Ukiona marekani kaamua kufanya kitu, mchezo ulisha isha kitambo
Marekani hajawahi kushinda Vita kumbuka alipokea kichapo kutokea kwa Vietinam, mwaka 1993 alienda Somalia akala kichapo heavy sana, VITA VYA afighastan na Iraq mpaka leo vita vinaendelea
 
Hakuna lolote maisha yataendelea tu
 
America kwasasa kwishney kama mtu anaweza chezea uchaguzi wake bila wao kujua mnamuamini kwa lipi? Sasa hivi nchi nyingi zime advance sana sio zama zile, apige bomu moja tu korea kaskazini muone shughuli maana ingekuwa nchi za kiarabu tayari ashapiga
 
nimejikuta mfuasi na mshabiki mkubwa wa habali za korea kas na marekani kujua bifu lao litaisha vip kama na wewe umegusa na hizo new basi karibu upata simulizi zifuatazo
 
We umetoa habari wapi kama nchi kumi zenye nuclear zinajiandaa? Hii haiwezi kuwa vita ya 3, bado, NK atapigwa na Allies wake mchina atabaki kutizama na kutoa matamko. Hio vita itaathir korea kusini na mjapan wake. Huyu mapanki nae akae atulie, missile zake zenyewe hazina uhakika kama zinaweza kuruka japo kutoka kwenye launch pod.
 
Yaani Marekani ikiongozwa na Republican huwa ni full vitisho na ubabe
 
Back
Top Bottom