Majeshi ya north sudan yamechukua mji wa abyei, south sudan wanasema hii ni declarion of war.
Can North sudan fight the darfurians and south sudan at the same time/
This might be the end of bashir.
BBC News - Sudan: Abyei seizure by North 'act of war', says South
Ifuatayo ni taarifa ya chombo cha habari kikaragosi cha madhalim-Aljazeera
Omar Hassan al-Bashir, the president of Sudan, has said that Abyei belongs to the north and that his forces will not withdraw from the disputed region.
"Abyei is northern Sudanese land," Bashir said in a speech in the capital Khartoum on Tuesday. "We will not withdraw from it."
He said he had given the green light to the northern army to respond to any possible "provocation" by the army of south Sudan which also claims the region and plans to become independent on July 9.
The latest remarks marked a dramatic shift from his earlier statement that a "peaceful resolution" for Abyei would be found.
Northern forces took control of Abyei by moving tanks into the main settlement on the weekend after weeks of tensions, forcing tens of thousands to flee and sparking an international outcry.
Southern officials on Monday accused the north of trying to provoke a new civil war. Sudan's last north-south civil war ended in a 2005 peace deal that allowed southerners to vote overwhelmingly for independence in a referendum in January.
The deal also promised Abyei residents their own referendum over whether to join the north or south, but that never took place as neither side could agree who was qualified to vote
Bashir says Abyei belongs to the north - Africa - Al Jazeera English
Jana katika pita pita yangu nilikutana na harakati kubwa ya wanajeshi wa Tanzania wakijiandaa kwenda uwanja wa mapambano Sudan.Nani anawapeleka na wanakwenda kupigana na nani ambaye ana uadui na Tanzania.Jee Albashir ni adui wa Tanzania kama alivyo kwa US na washirika wake?.
Kama vita ya wenyewe kwa wenyewe itazuka huko Sudan itakuwa vita mbaya sana kwani itawaingiza wengi ambao hawahusiki moja kwa moja. Uganda haitakaa kimya na kumuachia Bashir awashambulie hawa jamaa wa South; na ndio maana Museveni hivi karibuni ametenga kiasi kikubwa sana cha pesa za kununulia silaha. Tanzania pia inaweza kujikuta inaingia kwenya vita hivyo kutokana na mikataba ya ulinzi ya nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki, hivyo basi hao askari uliowaona wakifanya mazoezi inawezekana kabisa wanajitayalisha iwapo mambo yataharibika na wao kuhitajika kwenda kwenye frontline!!
Acha ujinga wewe. Hujui kwamba Tanzania ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatakiwa kurespond kwa maombi yoyote ya UM kama haya ya kupeleka maaskari wake huko Sudani? Jambo hilo liko wazi na halivunji sheria wala katiba ya nchi yetu wala ya Sudani ambayo nayo ni mwanachama anayepaswa kutii maelekezo ya UM yenye jukumu la kuzuia uhalifu dhidi ya ubinadamu kama huu wa kuvamia, kuua na kuharibu mali ya raia wasio na hatia.Ifuatayo ni taarifa ya chombo cha habari kikaragosi cha madhalim-Aljazeera
Omar Hassan al-Bashir, the president of Sudan, has said that Abyei belongs to the north and that his forces will not withdraw from the disputed region.
"Abyei is northern Sudanese land," Bashir said in a speech in the capital Khartoum on Tuesday. "We will not withdraw from it."
He said he had given the green light to the northern army to respond to any possible "provocation" by the army of south Sudan which also claims the region and plans to become independent on July 9.
The latest remarks marked a dramatic shift from his earlier statement that a "peaceful resolution" for Abyei would be found.
Northern forces took control of Abyei by moving tanks into the main settlement on the weekend after weeks of tensions, forcing tens of thousands to flee and sparking an international outcry.
Southern officials on Monday accused the north of trying to provoke a new civil war. Sudan's last north-south civil war ended in a 2005 peace deal that allowed southerners to vote overwhelmingly for independence in a referendum in January.
The deal also promised Abyei residents their own referendum over whether to join the north or south, but that never took place as neither side could agree who was qualified to vote
Bashir says Abyei belongs to the north - Africa - Al Jazeera English
Jana katika pita pita yangu nilikutana na harakati kubwa ya wanajeshi wa Tanzania wakijiandaa kwenda uwanja wa mapambano Sudan.Nani anawapeleka na wanakwenda kupigana na nani ambaye ana uadui na Tanzania.Jee Albashir ni adui wa Tanzania kama alivyo kwa US na washirika wake?.
Una maana na South Sudan wawe mwiba watetee chao? Kwanini umeona North ndiyo wenye haki? Sababu ya Uarabu au?Kwa Bashir na Ghadhafi hatua za haraka zitachukuliwa dhidi yao.Mambo kama haya hatuyaoni kwa Mexico wala Korea ya Kaskazini.
Mimi nadhani Bashir awe mwiba kama Ghadhafi na Bashar kutetea wanachoona kina manufaa kwa watu wao.
Mimi ninavyoelewa ubaya wote huo unatokana na mikakati endelevu ya vita dhidi ya uislamu.Kwa Afrika taifa la Sudan ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya elimu ya kiislamu.Athari yake imekuwa ikivuka mipaka kwa kasi na hasa kuendea kusini.Lengo la mwanzo la kuigawa Sudan na kuweka kuzuizi cha kusini limefanikiwa kwa kutumia vyombo vya habari vilivyoupa sura mbaya sana mgogoro wa kusini ya Sudan.Haikuchukuliwa kwamba ni matatizo ya ndani ya Sudan ambayo wenyewe walikuwa wakiyatatua kwa vizuri.Huu mgogoro ulifanywa ni wa dunia.
Serikali ya Albashir ilidhani kwa kuruhusu kura ya maoni iliyokuwa huru kwa upande wake lakini na uchochezi mwingi wa maadui wa uislamu kwa wasudan wa kusini ilidhani ndio mambo yangetulia lakini ndio kwanza wanaandamwa.
Kila utakalofanya kuwaridhisha mabeberu haitakuwa vyema.Angalia yanayoendelea Libya hata Ghadafi angesema na kufanya nini mkakati wa kuiteka na kuikalia Libya usingesimama.Hivyo hivyo kwa Pakistan ushirikiano wote iliyotoa kwa US eti kumtafuta Osama kwa miaka 10 wala haikuwa ni wema bali wamejimaliza wenyewe na kuiua dini yao wenyewe.Sasa hivi Pakistan si lolote na Marekani iko mbioni kumuweka mtu wamtakae na zuzu zaidi kuliko Asif Zardai kuua nguvu ya nyuklia ya Pakistan. Hayo yakitendeka huku aliyekuwa adui wa Pakistan-India akiwa tayari ana mikataba madhubuti ya kijeshi iliyo dhidi ya Pakistan.
Hakuna sababu yoyote ya Tanzania kupeleka jeshi Sudan ya kusini kupigana na kaskazini isipokuwa ni ushirika wake wa siri na US na NATO kufanikisha malengo yao.
Huyo Osama unayesema ni wa USA/NATO.Osama halisi aliishi Sudan lakini hakuhusika na mashambulizi ya Tanzania wala Kenya.Hakulishwa samaki bali alizikwa eneo la Afghanistan mwaka 2001 na hakuna USA wala NATO watakaolijua kaburi lake.Usiwe na wasiwasi Mkuu. Wakimmaliza Ghadaff, wanakuja kwa Al Bashir....
Sasa sijui Libya ni mpaka upi wanaweka kuzuia Uislaam? Mbona mwenzetu tayari umeshakuwa Muislaam?
Wakati Osama anashambulia Kenya na Tanzania, alikuwa akiishi Sudan. Hata kama ungelikuwa ni wewe na una uwezo wa nchi za NATO, ungelifanya hivyohivyo. Ila maadam unafikiria elimu hiyo itakufanya upambane na USA/NATO, basi subiri uone Osama mwingine mwili wake ukilishwa Samaki huko baharini......
Ahh, by the way, Wachina wameshachoshwa na utekaji Meli unaofanywa na Wasomali. Wameanza kupanga/kufikiria uwezekano wa kuivamia nchi nzima na kuweka adabu. Pesa wanayo, watu wanao na mkiwauwa ndiyo kwanza wanashukuru maana mnawapunguzia idadi ya watu. Nia ya kufanya hivyo wanayo na sababu wanayo maana Meli zao zilizoshiba bidhaa, zinakwama kwenda na kutoka China. Subiri sasa uone KIBANO kitakachoshuka maana kwa ukatili, hivi vijamaa havijambo. Vitahakikisha kama ikibidi, vinauwa hadi MIJUSI ya Somalia......
Mimi ninavyoelewa ubaya wote huo unatokana na mikakati endelevu ya vita dhidi ya uislamu.Kwa Afrika taifa la Sudan ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya elimu ya kiislamu.Athari yake imekuwa ikivuka mipaka kwa kasi na hasa kuendea kusini.Lengo la mwanzo la kuigawa Sudan na kuweka kuzuizi cha kusini limefanikiwa kwa kutumia vyombo vya habari vilivyoupa sura mbaya sana mgogoro wa kusini ya Sudan.Haikuchukuliwa kwamba ni matatizo ya ndani ya Sudan ambayo wenyewe walikuwa wakiyatatua kwa vizuri.Huu mgogoro ulifanywa ni wa dunia.
Serikali ya Albashir ilidhani kwa kuruhusu kura ya maoni iliyokuwa huru kwa upande wake lakini na uchochezi mwingi wa maadui wa uislamu kwa wasudan wa kusini ilidhani ndio mambo yangetulia lakini ndio kwanza wanaandamwa.
Kila utakalofanya kuwaridhisha mabeberu haitakuwa vyema.Angalia yanayoendelea Libya hata Ghadafi angesema na kufanya nini mkakati wa kuiteka na kuikalia Libya usingesimama.Hivyo hivyo kwa Pakistan ushirikiano wote iliyotoa kwa US eti kumtafuta Osama kwa miaka 10 wala haikuwa ni wema bali wamejimaliza wenyewe na kuiua dini yao wenyewe.Sasa hivi Pakistan si lolote na Marekani iko mbioni kumuweka mtu wamtakae na zuzu zaidi kuliko Asif Zardai kuua nguvu ya nyuklia ya Pakistan. Hayo yakitendeka huku aliyekuwa adui wa Pakistan-India akiwa tayari ana mikataba madhubuti ya kijeshi iliyo dhidi ya Pakistan.
Hakuna sababu yoyote ya Tanzania kupeleka jeshi Sudan ya kusini kupigana na kaskazini isipokuwa ni ushirika wake wa siri na US na NATO kufanikisha malengo yao.
Una maana na South Sudan wawe mwiba watetee chao? Kwanini umeona North ndiyo wenye haki? Sababu ya Uarabu au?
Kwa vile South Sudana kuna mafuta vita itakuwa ni daima.Watapiganishwa kama majogoo mpaka siku watakapotia akili.South Sudan's enemy within
Even before South Sudan declares its independence next week, it is already fighting at least half a dozen rebel movements.
On a video recording obtained by the BBC, hundreds of southern fighters jog rhythmically in a wide circle, singing and flaunting their new weapons
BBC News - South Sudan's enemy within