Vita ijayo mashariki ya kati

haya yote ni tisa kumi ni nani kakalia jiji la Jerusalem? mbona hamjamtoa mjukuu wa Rebeca ili kamasi akaishi pale. kafukuzwa mpalestina tangia 1948 na kutekwa kila kiwanja chake leo warudisheni Jerusalem basi kama Hisbollah na kamasi ni wababe. semeni semeni mapaka mpasuke ila ukweli ni mshindi wa vita atabaki muisrael tuu maana kateka jerusalem jiji takatifu tokea 1948 mapaka leo kakalia. kama hujui uliza makao makuu ya Israel yapo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…