Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere

Kweli mkuu
 
Hii article ya barafu ni nzuri sana! I think, wengi hatuijui. Ningeomba hata barafu awe mchokoza mada kwenye taarifa ya kesho.! I repeat, barafu i salute you my brother!!!
Huyu Mkuu siwezi kumuongelea kwa kifupi waswahili tunasema ni Kungwi haswa, yaani ni mtu ambaye huwezi kutomwamini ama kutomtilia maanani
 
Na hili wazungu wanalijua,wanajua watakaa miaka 10 ya JPM wakiwa bench,ila akiondoka tu basi wanaendeleza yao
Wakifanya hivyo kwa Mwalimu,alipotoka tu,ikawa kama Uhuru wa Manyani
Watu wa system watuandalie rais ajaye awe kama magufuli na hili lianze mapema zaidi ikiwezekana wafanye head pick hata mtu ambaye hayuko kwenye siasa
 
Watu wa system watuandalie rais ajaye awe kama magufuli na hili lianze mapema zaidi ikiwezekana wafanye head pick hata mtu ambaye hayuko kwenye siasa
hapana, cha msingi magu ale yamini, atuachie katiba mpya!!! Watanzania wa leo ni wasomi wazuri sana
 
Nimependa hapa

"Sisi tumeanza na Barrick,ama zao ama zetu...Tusikate tamaa,cha muhimu ni kujua tu "mbinu" za adui yetu.Tuliokula ugali wa unga wa manjano na uji wa bulga tunastahimili,vipi hawa watoto wa chips mayai na kuku wa boila??Kumekuchaaaa"
 
Sijui kama wengi wetu tumemuelewa barafu. Hii si vita ndogo. Unahitaji nguvu kidogo na akili nyingi la sivyo balaa kubwa linatungoja, fact

Zama zinabadilika sana. Mbinu za kupambana na wakubwa 70's si sawa na 2000's. Enzi zile ukikorofishana na West unakimbilia Russia au China kupata msaada. Leo hao wote majizi tu. Ukiwakimbilia wanatafuta namna ya kukukamua kwa style yao!!

Tuwe zaidi ya makini, no mihemko. Jasho jingi wakati wa amani damu kidogo wakati wa vita
 
Asante sana mkuu kwa uzi murua. Hakika JPM amejitoa sadaka. Hii vita si rahisi. Maadui wako ndani na nje. Lakini tukiangalia maslahi mapana ya taifa letu hakika tutasonga mbele. Tuwe tayari kunyimwa misaada, kuandikwa vibaya na mengineyo. Lakini hatuna budi kukomaa.

Asante sana kiongozi. Very refreshing thread.
 
Hitler alisema ''Naacha wayahudi wachache ili baadae watu wajue kwanini niliangamiza wayahudi.

Sasa hivi dunia yote inaongozwa na wayahudi. Wamekamata kila idara na kila mahali wapo.

Kwanzia kwenye media, mabank, usafiri, madini, pesa, industries kama vile Hollywood n.k.

Hawa watu wanatengeneza matatizo duniani ilimradi wajinufaishe wao. Ni watu wanaoamini Mungu aliumba hii dunia kwa ajili ya wayahudi tu! na sisi wengine tuliumbwa kwa matumizi yao.

Hivi unaweza kuamini kuwa 43% ya utajiri wote wa USA unamilikiwa na 1% pekee ya wamarekani wote ambao kwa karibu 99% ya hiyo 1% ni wayahudi?
 
Mfupa wa mwadui hata mwalimu ulimshinda
 
Kuna chamgamoto kubwa sana kwamba watu wenye nguvu wameungana dhidi ya wanyonge, mbaya zaidi tunapigana vita kwa kanuni zao na kwenye uwanja wao basically (refer MIGA na ICSID).
Nchi za Africa zinatakiwa kuwa na plan ya pamoja kulinda resources, vinginevyo tutaishia kupiga mayowe bila kuachieve chochote.
Hata humu ndani hii vita isibinafsishwe kwa vyama vya siasa. Kuna watu wanajitolea kutoa solutions ila wanapuuzwa. Labda tusubiri hiyo kesho pengine jamaa watakuja na strategy.
 
Aisee Sizonje itabidi afunge taulo vizuri kabla ya kuanza ngumi kesho
Siku zote Wazungu uungana pindi maslahi yao yakiguswa
Tusubiri fitna
Kama Dr Williamson walishukuru alipopata kansa ya koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…