Kuna hatari kubwa ya kuzuka vita baridi au vita kamili kati ya western power ikiongozwa na marekani na Eastern power na China pamoja na Russia hivi karibuni Joe Biden alisema kuwa mkakati wa Amerika ni kupambana na vitisho kutoka bahari Baltic ambako Russia na China zote ni kutoka ukanda hiyo
Baada ya kueleza msimamo huo kama alivyo sema yeye na serikali yake ya America. Haikuchukua mda ndipo ndege kubwa za kubeba mabomu na upelelezi kama vile B1 lancer ,P8 Poseidon, B-2 spirit zilianza luteka za kijeshi kwenye kanda hiyo pamoja na route nyingi za ndege hizo kwenye mataifa ya Ulaya Kaskazini lakini Russia na China nao sio wajinga.
Russia imepeleka vikosi vingi kwenye kanda hiyo na submarine zake huku ikitumia upole usioumiza kufukuza ndege hizo za Marekani pindi wanapogundua zinapaa kwenye anga hilo ambalo kiasi kikubwa linatawaliwa na Russia na kiasi Canada, mataifa ya ulaya pamoja na kidigo sana China japo China imeelekeza nguvu nyingi kwenye bahari ya southern China sea ambayo inatajwa kuwa ni moja sehemu muhumu zaidi dunia kutokana kuwa bahari hiyo INA utajiri mkubwa wa gesi lakini kama hilo dogo bahari hiyo inapitisha biashara za thamani Us dollars $4 Trillion kwa mwaka.
Lakini china na Russia zimeongeza ushirikiano wao kiasi kikubwa kuliko awali kutokana na vitendo vya viongozo wa marekani wanao Fanya safari nyingi kwenye nchi za Asian Pacific ili kuzishawishi ziungane na marekani kupambana zidi ya vitisho vya china, north Korea na Russia