Nilitegemea vile vikundi vinavyojiita ISIS,AL QAEDA na matawi yake mengine kwenye huu mgogoro labda hata na wao wajitokeze kuunga mkono upande wa Urusi. Kwakuwa adui wakubwa wanaoisapoti Ukraine ni NATO nyuma yao akiwa Mmarekani kama kiranja wao.
Nasema hivi kwakuwa vikindi hivi hudai adui yao mkubwa ni mataifa ya magharibi kwa kile kinachoitwa vita dhidi ya UGAIDI/MAGAIDI ambapo walengwa wakubwa ni nchi zenye mlengo wa kiislamu.
Katika kipindi hiki ndio ilikuwa nafasi nzuri kwao kuunda nguvu na Mrusi kuwaumiza NATO.
Lakini waapi huwezi kusikia chochote kutoka hayo makundi kwakuwa tu yaliundwa na Mmarekani mwenyewe kwa ajili ya uvamizi halamu ktk nchi za Arabs.