Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Viongozi wa CCM wanajipanga kusherehekea kwa nguvu maadhimisho ya Mapinduzi Zanzibar. Hili ni tukio muhimu lenye kukumbusha na kuimarisha utambulisho wa Zanzibar na watu wake.
Kwa miaka minane sasa viongozi wa CCM wamekuwa wakifuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika. Si bahati mbaya
Kwa miaka minane sasa viongozi wa CCM wamekuwa wakifuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika. Si bahati mbaya