Visiting Kigali from Nairobi leaves you both impressed and sad

Visiting Kigali from Nairobi leaves you both impressed and sad

Kwani Burundi Mbaya?

Kama unaongea kujifurahisha ni sawa ila kiuchumi, usalama, usafi na Mazingira mazuri Burundi haiwezi kuifikia Rwanda hata robo, na wala haiko popote katika kuisogelea Rwanda....
 
Ingekuwa hiari yangu, Rwanda isingekuwa katika uso wa dunia.
Ningeifutilia mbali!!!
mmmmh unaongea kama muirani dhidi ya israel eti atafutilia mbali israel...ahaha..rwanda ni ndogo kieneo lakini si wadogo kichwani..kwa hiyo hayo mawazo yenu yatabaki kua ndoto.
 
Jameni kila mtu akitembelea Rwanda huwa anarudi na sifa za Kigali, sasa sielewi kwanini jamaa wachache humu ndani ya JF huwa na matatizo dhidi ya hii nchi. Tuwaachie Warwanda waijenge nchi yao, sie tumeshindwa na kwetu, wivu na chuki dhidi yao havitawapunguza speed.

Nani anayeichukia Rwanda? Rwanda nchi nzuri tu ila matendo ya baadhi ya watu inawezekana hayakubaliki.
 
rwanda is doing well. lakini the true test will be if they will maintain the same wakati kagame na rpf will leave office. i wish them well.
 
Bwana ukitembea nchi ya watu huwa unalinganisha na nchi yako, mimi siwezi linganisha Kigali na Dubai, ila nitailinganisha na Nairobi yangu. Hivyo wewe ukienda Kigali unasubiri lazima iwe kama Dubai ndio uisifie, basi umechelewa.

Best comment of all the time.
 
kwa kuweza tu kuimarisha usafi wa jiji lao,, inatosha kusifiwa,, kwa sababu hiyo ndio kazi ngumu kabisa kusini mwa jangwa la sahara,, hasa afrika mashariki,,, wakiongozwa na dar es salaam
 
kwa kuweza tu kuimarisha usafi wa jiji lao,, inatosha kusifiwa,, kwa sababu hiyo ndio kazi ngumu kabisa kusini mwa jangwa la sahara,, hasa afrika mashariki,,, wakiongozwa na dar es salaam

true that kigali ni safi sana.
 
Back
Top Bottom