Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
10,718
Reaction score
32,088

🌍 TUNARUDI TENA RWANDA 2026 πŸ‡·πŸ‡Ό
Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena!

Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia
πŸ“… Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili)

πŸ”” Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa.

πŸ’° Gharama: Tsh 390,000/= kwa mtu
πŸ“ Kutokea Mwanza

πŸ’Ό Gharama hii itahusisha:
βœ”οΈ Usafiri wa kwenda na kurudi
βœ”οΈ Hotel (malazi bora)
βœ”οΈ Breakfast
βœ”οΈ Guide fees
βœ”οΈ Entrance fees kwenye vivutio
βœ”οΈ Safari iliyoandaliwa kwa ratiba nzuri na ya kufurahia

✨ Kwa nini uchague sisi?
πŸ‘‰ Sisi ni Visit Lake Zone,
πŸ‘‰ Tunaandaa tour za kiwango cha juu
πŸ‘‰ Kwa gharama nafuu sana
πŸ‘‰ Huduma bora, usalama na experience ya kukumbukwa

πŸ“Œ Hii ni safari ya burudani, mapumziko na kujifunza β€”
usipange kukosa!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa booking na maelezo zaidi
Nafasi zikijaa, safari imejaa!
 
Tunalo group kwaajili ya safari

Mpka sasa tumeanza kujuzana na kupeana ndondondo za safari.

Pamoja na Sheria tutakazo fuata kama group trip...


Natuma hapa ili uone ikiwa unaweza join us
 
"habari za leo.


Katika kuelekea safari yetu, ningependa kugusia machache kuhusu utaratibu wetu:

1. Mchanganyiko wa Washiriki: Safari yetu inajumuisha watoto, wazazi, na wanandoa. Hivyo, ustaarabu na lugha nzuri ni kipaumbele chetu.

2. Miongozo (Guidelines): Naandaa ratiba na sheria ndogo zitakazotuongoza ili kumlinda kila mshiriki na kuhakikisha maslahi ya wengi yanazingatiwa.

Lengo: Ni kufurahia pamoja bila kuathiri faragha au amani ya mwingine.

Ratiba kamili nitawatumia hivi punde. Asanteni kwa ushirikiano wenu."
 
Kuona nini!? Manyani na Sokwe au !?
 
🌍 SAFARI MAALUM YA KIGALI – RWANDA KUTOKA MWANZA πŸ‡·πŸ‡Ό

Tunakuandalia safari ya kipekee kwenda Kigali, Rwanda kutoka Mwanza kwa gharama ya Tsh 390,000/= tu.

πŸ“Œ Kifurushi hiki kinajumuisha:
βœ… Usafiri wa kwenda na kurudi
βœ… Hotel nzuri na salama
βœ… Breakfast kila siku
βœ… Tour guide fees zote
βœ… Ziara za kujifunza tamaduni na utamaduni wa Rwanda

πŸ’³ Malipo unaweza kufanya kwa awamu ili kujihakikishia nafasi mapema.
⚠️ Nafasi ni chache, wahi kabla hazijaisha.

Njoo tusafiri, tujifunze, turefresh mawazo na kufurahia uzuri wa Rwanda – nchi ya nidhamu, utamaduni na maendeleo.

Karibu usafiri wa uhakika na wa kumbukumbu. ✨
Kuona nini!? Manyani na Sokwe au !?
 
πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡Ό
Mpaka sasa tuna nafasi 13 tu zilizobaki

Fanya booking, kuepuka kukosa nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…