Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Urefu wa kamba maana yake upate malipo sawa na unachostahili kwa mujibu wa sheria na ukubwa wa kazi uliyofanya. Yaani usidhulumu wala kudhulumiwa. Haki bin haki. Aidha, usiingilie mamlaka yasiyo yako kwa kibri bali uwe mtu wa kadiri na unaye heshimu haki za watu wengine. Hii inaangukia kwenye 'R' zote. Ukiona mtu anaipinga hii, ujue anataka kuzingua mahali.Urefu wa kamba ni vision au sera?
Mkuu, viwanda ni part and parcel ya maendeleo ya kiuchumi. Sio falsafa ya jumla ya kiongozi bali ni sehemu ya mipango ya maendeleo.... angesimama jukwaani kuelezea vision yake hiyo ingekuwa jambo la maana sana. Kiongozi bora sharti aeleweke na anaowaongoza anawapeleka wapi clearly and loudly! Pia, kama ile sera ya Tanzania ya Viwanda imezikwa rasmi wananchi na taifa kwa ujumla liambiwe ukweli badala kukaa tu kimya.
... shukrani kwa ufafanuzi. Ila nakumbuka aliyepita alikuwa very specific - Tanzania ya Viwanda.Mkuu, viwanda ni part and parcel ya maendeleo ya kiuchumi. Sio falsafa ya jumla ya kiongozi bali ni sehemu ya mipango ya maendeleo.
Kama unakumbuka mwaka jana kulikuwa na mazungumzo na China kujenga baadhi ya viwanda vya HiTech hapa nchini, hizi ni moja ya stratejia za kukuza viwanda nchini, miongoni mwa nyinginezo.
Mkuu, mambo mengine tulishaambiwa na mzee JK kuwa; za kuambiwa unachanganya na zako. so hata ninachokuambia mimi kipime kama kinafanana fanana na ukweli? usikichukue tu jumla jumla mkuu wangu.... shukrani kwa ufafanuzi. Ila nakumbuka aliyepita alikuwa very specific - Tanzania ya Viwanda.
Mkuu nakubaliana na wewe. Mama ni mtu mwema mwenye dhamira njema kwa watu wote. Yaani anataka aone kila mtu anafanikiwa. Hata asipofikia lengo hilo kikamilifu, bado ukweli utabakia huo huo.Mleta mada I salute you, nimetoka kumuambia mke wangu jana, nasisitiza jana, nimemuambia nikimuangali Mama na staili yake ya kuongoza, namuona ni mtu anayetaka kila mtu awe na hela, awe na maisha mzuri, kifupi mama anataka kila mtu ale ili asisumbuliwe na kelele, tatizo letu Watanzania hatuzioni fursa, tunataka kila kitu tuwekewe mezani, AWAMU HII, NARUDIA AWAMU HII, KAMA UKIWA NA MCHONGO, BIASHARA, KAZI NA JUHUDI, HUU NI WAKATI WA KUTOKA.
Naziona fursa nyingi awamu hiu tofauti sana na kipindi cha Bwana yule aliyekuwa anakula na Genge lake huku akituita sisi wanyonge.
Hivyo viwanda vipo wapi, maana mpaka anaenda zake hali ya ajira ilikuwa inazidi kuwa tete huku akituita wanyonge, biashara zilifungwa,mashirika rafiki yakaondoka zake, kila sehemu ikawa vilio, jamaa alikuwa anatumaliza hakika.... shukrani kwa ufafanuzi. Ila nakumbuka aliyepita alikuwa very specific - Tanzania ya Viwanda.
Huyu hangaya hana sera wala maono.Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na baadi ya wananzengo.
Jamani eeh; vision ya mama ni very simple and clear. Ni '4Rs' yaani (Reconciliation, Resiliency, Reforms & Rebuild).
'Reconciliation' – Kujenga uhusiano mwema miongoni mwa makundi yaliyokuwa yanahasimiana bila sababu. Hii ni kati ya vyama vya siasa, taasisi na mashirika, wadau wa maendeleo, Tanzania na nchi nyingine na ushirikiano wa kikanda na kimataifa, NGO's n.k.
'Resiliency' - Kuwaponya walioumizwa, kuwatetea waliodhulumiwa, kujaribu kuwarejeshea haki walipokonywa, kuleta furaha kwa wenye huzuni na kuwarudishia matumaini waliokata tamaa n.k.
'Reforms' – Kufanya marekebisho makubwa ya kimifumo ikiwemo kurekebisha sheria mbovu kila zilipobainika, Kutupatia katiba mpya (kwa wakati muafaka ), kufanya mabadiliko ya kiuchumi kutoka uchumi wa ku force hadi uchumi wa kuvutia kisayansi.
'Rebuild' – Kurekebisha penye makosa na kuendeleza kujenga miundombinu muhimu ambayo iko kwenye pipeline.
Na R zote zinaenda kwa mpigo, usiponufaika na 'R' utanufaika na 'R' na usipofikiwa na 'R&R' lazima Upate japo 'R". Enjoy 'R' inayokuhusu huku ukitimiza wajibu wako kwa kuwa mafanikio ya kweli hupatikana pale kila mmoja wetu anapotimiza wajibu wake kikamilifu huku akitanguliza dhamira njema.
Moja ya vitu muhimu ambavyo tunatakiwa tufanye lakini hatufanyi, ni kuwaunga mkono watu wema wanapofanya mambo mema kama 'incentive' ya wao kuendelea kufanya mambo mema.Huyu hangaya hana sera wala maono.
Tutawapa TBC wawe wanaisoma hii kwenye tunatrkeleza.Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na baadi ya wananzengo.
Jamani eeh; vision ya mama ni very simple and clear. Ni '4Rs' yaani (Reconciliation, Resiliency, Reforms & Rebuild).
'Reconciliation' – Kujenga uhusiano mwema miongoni mwa makundi yaliyokuwa yanahasimiana bila sababu. Hii ni kati ya vyama vya siasa, taasisi na mashirika, wadau wa maendeleo, Tanzania na nchi nyingine na ushirikiano wa kikanda na kimataifa, NGO's n.k.
'Resiliency' - Kuwaponya walioumizwa, kuwatetea waliodhulumiwa, kujaribu kuwarejeshea haki walipokonywa, kuleta furaha kwa wenye huzuni na kuwarudishia matumaini waliokata tamaa n.k.
'Reforms' – Kufanya marekebisho makubwa ya kimifumo ikiwemo kurekebisha sheria mbovu kila zilipobainika, Kutupatia katiba mpya (kwa wakati muafaka ), kufanya mabadiliko ya kiuchumi kutoka uchumi wa ku force hadi uchumi wa kuvutia kisayansi.
'Rebuild' – Kurekebisha penye makosa na kuendeleza kujenga miundombinu muhimu ambayo iko kwenye pipeline.
Na R zote zinaenda kwa mpigo, usiponufaika na 'R' utanufaika na 'R' na usipofikiwa na 'R&R' lazima Upate japo 'R". Enjoy 'R' inayokuhusu huku ukitimiza wajibu wako kwa kuwa mafanikio ya kweli hupatikana pale kila mmoja wetu anapotimiza wajibu wake kikamilifu huku akitanguliza dhamira njema.
Mkuu inabidi tubadilike sana, kama sio sisi basi tuhakikishe watoto wetu hawatabaki kama tulivyo sisi, nasema hivi kwa sababu ukiangalia Watanzania wengi, hasa hawa wanaopenda kuitwa WANYONGE, hawa watu wapo radhi kila mtu akose ili wote mufanane na muwe wanyonge, kuna rafiki yangu ana duka Kariakoo, kipindi cha nyuma hata kwenda dukani kwake ilikuwa shida maana kulijaa machinga mpaka mlangoni, ukipaki gari ukija wametundika nguo kwenye vioo, leo wameondoka wanalalamika kwa mbali eti huu sasa wakati wenu, wenye hela munathaminiwa, wakati huo huyu rafiki yangu alikuwa anakaribia kufunga biashara maana hakukuwa na wateja, tufanye kazi, kipindi huchu cha mama kina fursa nyingi, hela zimeanza kujaa mtaani, ninapoishi mimi kila kona sasa watu wanajenga, wakatu ndio huu.Mkuu nakubaliana na wewe. Mama ni mtu mwema mwenye dhamira njema kwa watu wote. Yaani anataka aone kila mtu anafanikiwa. Hata asipofikia lengo hilo kikamilifu, bado ukweli utabakia huo huo.
Moja ya changamoto kubwa kwake na kwetu sote ni kwamba jamii yetu imejaa watu wengi wa ajabu ajabu. Kwa mfano watu wanaonun'guika kwa kila wanachofanyiwa, watu wenye shida ya kila solution inayotolewa huku wao wakiwa hawana solution, watu wanaopenda kuona wenzao wanaumia bila sababu n.k. Hivyo unapoongoza jamii ya watu wa namna hiyo, unaweza kuwa na dhamira njema, ukachukua hatua muhimu kwa kadiri ya uwezo wako na bado usifanikiwe sana.
Ndio maana tunasisitiza kuwa pamoja na reformations zinazofanyika, bado ni muhimu sisi kama raia mmoja mmoja tukawajibika kikamilifu vinginevyo bado ni tatizo.
Ndugu, hii mbona kuna mtu ashaileta hapa, tukafafanua tukasema: Urefu wa kamba maana yake upate malipo sawa na unachostahili kwa mujibu wa sheria na ukubwa wa kazi uliyofanya. Yaani usidhulumu wala kudhulumiwa. Haki bin haki. Aidha, usiingilie mamlaka yasiyo yako kwa kibri bali uwe mtu wa kadiri na unaye heshimu haki za watu wengine. Hii inaangukia kwenye 'R' zote.Labda vision ya kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa letu👇🤡🤡🤡
View attachment 2224528
Mkuu umeongea mambo ya msingi sana, unapoongoza watu wengi lazima kuwe na utaratibu, vinginevyo hufiki popote na sasa ndicho kinachofanyika.Mkuu inabidi tubadilike sana, kama sio sisi basi tuhakikishe watoto wetu hawatabaki kama tulivyo sisi, nasema hivi kwa sababu ukiangalia Watanzania wengi, hasa hawa wanaopenda kuitwa WANYONGE, hawa watu wapo radhi kila mtu akose ili wote mufanane na muwe wanyonge, kuna rafiki yangu ana duka Kariakoo, kipindi cha nyuma hata kwenda dukani kwake ilikuwa shida maana kulijaa machinga mpaka mlangoni, ukipaki gari ukija wametundika nguo kwenye vioo, leo wameondoka wanalalamika kwa mbali eti huu sasa wakati wenu, wenye hela munathaminiwa, wakati huo huyu rafiki yangu alikuwa anakaribia kufunga biashara maana hakukuwa na wateja, tufanye kazi, kipindi huchu cha mama kina fursa nyingi, hela zimeanza kujaa mtaani, ninapoishi mimi kila kona sasa watu wanajenga, wakatu ndio huu.
Kama tulivyoeleza hapo awali kwamba kwenye jamii za kiafrika kuna wachawi wengi; Kawaida ya mchawi, anafurahi kuona zaidi watu wakipata shida (hata kama naye anapata shida) kuliko anavyopenda kuona yeye mwenyewe akifanikiwa. Ndio maana mchawi yuko tayari alale nje akiwa uchi ili akufanye wewe uugue. Sasa mtu kama huyu unatarajia nini la maana toka kwake? ukiona umeungwa mkono na mtu wa namna hiyo, kuwa makini sana.Ila Watanzania hawawakubali ng'ooo!!.