Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Motor nyingi za visima vya maji zimekuwa zikifanya kazi chini ya kiwango chake kutokana na kupokea umeme mdogo kutoka katika mfumo wa umeme.
Kwa asilimia kubwa visima vingi hasa virefu vimekuwa na tatizo la kuwa na presha ya maji kidogo,na motor zake kuungua ungua mara kwa mara kutokana na tatizo la motor kupokea umeme mdogo.
Yawezekana nyumba yako ikawa na umeme wa kutosha kabisa kutoka Tanesco lakini bado motor yako ya kisima ikapokea umeme mdogo .
Swala la motor kupokea umeme mdogo licha ya nyumba yako kuwa na umeme wa kutosha linatokana na mchakato mzima wa kusafirisha umeme ule kutoka katika Control box ya motor hadi kisimani.
Umbali unaosababishwa na urefu wa kisima hupelekea umeme mwingi kupotea njiani pale unapo safiri kutoka katika control box.
NAMNA YA KUONDOA TATIZO HILO
Kwa wale wenye matatizo ya umeme mdogo ambao unashindwa kuendesha motor zao za visima vya maji,au wanapata presha ndogo ya maji kutokana na tatizo la kupungua kwa umeme wanaweza kuondoa tatizo hilo moja kwa moja kwa kifaa kinacho itwa AUTOMATIC LOW VOLTAGE BOOSTER(ALVB)
Kifaa hiki ni maalumu kwa ajiri ya kuongeza umeme pale unapo shuka chini ya mahitaji.
Kifaa hiki kimekuwa suruhisho kwa watu wote wanao teseka na tatizo la umeme mdogo katika nyumba zao.
Kinaifanya motor ya kisima chako ikafanya kazi kwa ubora wa asilimia 100%
Na pia husaidia kuongeza presha ya maji katika kiwango sahihi kwa ukubwa wa motor husika.
TAMBUA
Kutumia generator au stabilizer hakuondoi tatizo la Voltage drop, hivyo hata kama utafunga generator au stabilizer bado utakabiliwa na tatizo la low voltage katika motor yako.
Booster inatengenezwa maalumu kwa ajili ya kuondoa tatizo hilo kwa kufanyika kwa vipimo maalumu katika mfumo wako wa umeme vipimo vya voltage drop vitakavyo patikana katika mfumo wako wa umeme ndio hutumika kutengeneza booster hiyo.
FAIDA YA KUFUNGA BOOSTER
*Baada ya kufunga booster uhai wa motor yako utakuwa mkubwa.
*Presha ya maji itaongezeka kwa kiwango sahihi cha motor husika
*Voltage drop katika mfumo wa umeme wa motor utaondoka kwa asilimia 100%
*Bill ya umeme itapungua sababu motor itakua inapokea kiwango sahihi cha umeme.
Booster tunazozisuka zinaonekana hivi;
View attachment 217898View attachment 217899
Mfumo wake wa ufanyaji kazi ni huu kapa.
View attachment 217900
Unaweza kusoma zaidi kuhusu kifaa hiki HAPA
MAELEZO YA KITAALAMU KUHUSU VOLTAGE DROP HAYA HAPA CHINI
MFANO:
DATA ZA MFUMO WA UMEME WA MOTOR YA KISIMA.
*urefu wa kisima ni 150 meter
*Urefu wa waya kutoka katika control box hadi katika motor kisimani ni 160 meter
*Size ya waya ni 2.5sq mm
*Kiwango cha umeme katika control box ni 210Voltage
*Joto la waya ni 20 centigrade(standard temperature)
*Ukubwa wa motor ni Horse Power 2 sawa na watt 1500.(Sababu Horse power moja sawa na 746wattage)
*Current ya motor ya watt 1500 ni 7Ampere.
MATOKEO
Kwa mujibu wa calculator ya voltage drop, Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
View attachment 217902
*Umeme utapungua kwa 14.6 Volt.Sawa na asilimia 6.9%
*Umeme utakaofika katika motor ni 195.4 Voltage
Kwa kiwango cha umeme wa 195 kwa motor ni kidogo kuiwezesha kufanya kazi yake kwa ufanisi,hasa kama kisima ni kirefu sana.
Calculator hii unaweza kuipata HAPA
MADHARA YA UMEME MDOGO KATIKA MOTOR YA KISIMA CHA MAJI
*Motor yenye ukosefu wa umeme wa kutosha huungua mara kwa mara kwa sababu inapata moto sana kutokana na kuongezeka kwa Current kunakosababishwa na kupungua kwa Voltage.
*Pressure ya maji yanayo sukumwa na motor yenye umeme mdogo huwa ni ndogo pia hutumia muda mwingi katika kujaza matenki.
*Bill ya umeme huwa kubwa kwasababu motor inatumia muda mwingi katika kukamilisha zoezim la kujaza maji.
*Madhara mengine ya kupungua kwa umeme katika motor unaweza kuyasoma HAPA
Kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi 0657-115587
Bei ya mashine hizi inaanzia laki tano hadi 1.5 milion kutokana na ukubwa wa tatizo na size ya motor yako.