Habari wanajamii forums!
Naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida.
Hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn?
Aksanten sana.