santana6060
Member
- Apr 9, 2022
- 22
- 14
KI SHO KA.Sio kishoka sema madalali heshimu kazi za watu bas
Ni kweli lakin poa usipokuwa makin unapigwa vizurUnaweza kupata usaidizi wa haraka sana kutoka kwa vishoka,
kuliko wewe mwenyewe kufuatilia.
Sasa chagua mwenyewe.
Tena ukiwauliza anakwambia anafanya kazi TRA ni officer...Hivi wamerudi tena,nakumbuka pale Longroom zamani,unadakwa na mtu nadhifu tokea nje utafikiri ni mkurugenzi wa TRA kumbe kishoka...
Baki kulalamika humu wenzio wanapiga ela kalaga bao shekheKI SHO KA.
Kwa herufi kubwa.
Siyo Swala ni sualaHii ni changamoto kubwa sana hususan TRA samora ni kero sana yani vishoka wanakuwa wengi kuliko wateja, mamlaka husika ingeangalia ili swala, na baadhi ya watu wanapigwa sana....
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app