Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,042
- 9,652
Good uwa napenda wajasilia mali nakupa offer nitakutengenezea label za kubandika apo kwenye bidhaa yako ili iwe katika ubora zaidi za kwanza nakupa bure kabisa pis 100 ni pm jina la bidhaa yako na vitu unavyo tumia kutengeneza ivyo visheti na adress zako kamiliHello, jamani visheti vya Nazi hivyo
Kikopo 1000
(Delivery kuanzia vikopo 5 na unanichangia nusu ya nauli)
Jumla 800 kuanzia PC 30
Location Ubungo
Call 0714547830
invest what you are willing to lose
Mimi mwenyewe
Waooooo, asante mkuu, nakuja ndukiiiiGood uwa napenda wajasilia mali nakupa offer nitakutengenezea label za kubandika apo kwenye bidhaa yako ili iwe katika ubora zaidi za kwanza nakupa bure kabisa pis 100 ni pm jina la bidhaa yako na vitu unavyo tumia kutengeneza ivyo visheti na adress zako kamili
AsanteTangazo lipo vizuri lipo straight forward.
Cc Madali
Muige mfano huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama weka oda uletewe mpnzdaah napenda visheti jamani acha kabisa
Bado sijaanza package ya 1kg but soon, itakuja loveKilo 1 ???
Nakutumia love, we ni cheki tuyajengewa mikoani unatusaidiaje?
Hongera sana my dia kwa kuthubutu hii biashara ni nzuri mno nilishawahi kuifanya,kwa ushauri wa masoko pia jaribu kuwatarget wanafunzi wa shule ya msingi wanavipenda mno ila unafunga kwenye small packet.Kila lakheri.Nakutumia love, we ni cheki tuyajenge
invest what you are willing to lose
Asante mpendwa, ntafanya hivyoHongera sana my dia kwa kuthubutu hii biashara ni nzuri mno nilishawahi kuifanya,kwa ushauri wa masoko pia jaribu kuwatarget wanafunzi wa shule ya msingi wanavipenda mno ila unafunga kwenye small packet.Kila lakheri.
Waooooo, asante mkuu, nakuja ndukiiii
invest what you are willing to lose
Asante sana ndugu yangu
Ha ha haaa,Mkuu,nikivitaka unamtuma mtu au unaleta mwenyewe?