Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 452
- 446
Uwamalize tu washenzi haoWazungu walivyo washenzi, ugonjwa huu sasa hivi unaenea Ulaya na Marekani, hasa kwa mashoga.
Hii kuwaingiza sijui waafrika ni kutaka kujikosha tu.
"Since early May 2022, many countries in Europe, as well as Australia, and the U.S. have reported an increasing number of monkeypox cases.As a viral disease native to Africa, monkeypox is usually transmitted by animal-to-human contact, producing skin lesions, fever, and body aches in people the virus infects.Some recent cases of monkeypox have involved men who have had sex with men, however, experts say the disease is not a sexually transmitted infection but can spread via direct contact during sex"
Ref mtandaoni
Na hivi huku kwetu tuna nyani wengi,sijui itakuawaje?
Wazungu wanajifanya wajanja wanatengeneza kirusi wanakileta Afrika hafu baadaye kinawarudia wenyewe sisi huku hata hatuna habari nachoššš
Mamlaka za afya ziko macho kutokana na kuenea kwa ugonjwa hadimu unaofanana na tetekuwanga ambapo Ureno ilisema Jumatano iligundua visa viwili, Uhispania inafanya majaribio kwa watu 23 wenye dalili za ugonjwa huo, na jimbo la Massachusetts la Marekani likithibitisha kisa kimoja
Uingereza ilikuwa ya kwanza kuthibitisha kisa cha kwanza cha ugonjwa huo mapema mwezi huu ambapo hadi sasa imegundua kesi saba na inafanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuchunguza kuenea kwa virusi hivyo
Aidha, Mamlaka za afya zinashuku kuwa baadhi ya maambukizo huenda yalitokana na kujamiiana huku ikihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ambapo visa vinne nchini Uingereza vikihusisha wanaume wa aina hiyo
ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦.
Health authorities are on alert for the spread of monkeypox, a rare viral disease first reported in the Democratic Republic of Congo in the 1970s, after new cases emerged in Europe, and the United States confirmed its first infection.
Portugal said on Wednesday it had identified five cases of monkeypox, Spain said it was testing 23 potential cases, and the US state of Massachusetts announced it had found a case in a man who recently travelled to Canada.
The United Kingdom was the first to confirm a case of monkeypox earlier this month. It has now detected seven cases and is working with the World Health Organization (WHO) to investigate the virusās spread after being unable to make a link between the initial case, in a man who had travelled from Nigeria, and the more recent ones.
Health authorities suspect some of the infections may have occurred through sexual contact ā in this instance among gay or bisexual men ā with four of the UK cases identified among people who visited sexual health clinics after developing the rash associated with monkeypox.
āNo source of infection has yet been confirmed for either the family or GBMSM clusters,ā the WHO said in a statement in Wednesday. āBased on currently available information, infection seems to have been locally acquired in the United Kingdom. The extent of local transmission is unclear at this stage and there is the possibility of identification of further cases.ā
Monkeypox, which is similar to human smallpox, typically begins with a flu-like illness and swelling of the lymph nodes, followed by a rash on the face and body. Most people recover from the illness, which is endemic in parts of central and western Africa and usually the result of close contact with infected animals, within a few weeks, but it can be fatal.
Source: Al Jazeera
I agree zikienda kule ukeni hata kama kuna mpunguzano wa kinga, kuna namna ambayo uke wa mwanamke mwanamke hu-cope na hali hiyo naturally na isilete madhara makubwa mwilini mwake.True kutokana na jinsi ilivyoumbwa mfumo wa uke ndio unaoweza himili zile kemikali za shahawa tofauti na mfereji maana mfereji umeumbwa kutoa uchafu na sio kuingiza uchafu.
Hii ni nadharia, unaelewa maana ya nadharia bro? Kwa sasa ndio inahitaji utafiti kujiridhisha.Huu utafiti kiboko. Shahawa zinashusha kinga ya mwili? Mashoga hawafai kwa Tabia zao chafu Ila tusilete utafiti feki. Tukemee vitendo vya ushoga kwa nguvu zote kwa kuwa ni chukizo mbele za MUNGU.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasemaje kwani?@witnessj ni mwanamke bwana
Uke ni positive hauathiriki na shahawa za kiume negative morterI agree zikienda kule ukeni hata kama kuna mpunguzano wa kinga, kuna namna ambayo uke wa mwanamke mwanamke hu-cope na hali hiyo naturally na isilete madhara makubwa mwilini mwake.
We jamaa inaonekana upo na linadharia tata sana kuhusu papuchi, ebu nieleze kidogo huo unegative na positive ukojekoje. Napenda kujifunzaUke ni positive hauathiriki na shahawa za kiume negative morter
Yaani simu za mwanaume zikiingia kwenye pochi la mwanamke haziwezi leta madhara sababu kwenye pochi zipo kemikali ambazo zinauwezo wa kuua nguvu ya simu za wanaume na pochi litaendelea kubakia salama. Sasa ukichukua simu za wanaume ukazificha mtaroni ni lazima mtaro utaharibika tu kutokana na ile nguvu ya mionzi ya simu za wanaume. Ndo yanaibuka magonjwa kama huu, kansa, bawasari, na mengineyo.We jamaa inaonekana upo na linadharia tata sana kuhusu papuchi, ebu nieleze kidogo huo unegative na positive ukojekoje. Napenda kujifunza
[emoji849][emoji706]Ushoga ni tabia na sio asilia,ushoga ni pepo ushoga ni roho, shoga ni mtu ambae nafsi yake imechukuliwa na shetani na kufanywa mtumwa wake.
Nguvu ya maombi tu ndio inaweza ikatibu ushoga na si vingine.
Ex Mwenyekiti maarufu wa mashoga TANZANIA aliyewahi olewa mara mbili plus kubakwa na wanaume wenzake, leo ni mtumishi wa Mungu amefanya ushoga miaka 20 akiwa maarufu Sana kwenye bar ya mashoga jina kwa macheni magomeni mapipa, baada ya kufunguliwa, kufunguliwa ni kitendo cha kunyang'anya kwa nguvu shetani haki yako ikiwemo nafsi yako, leo ameoa na sio kuolewa tena, na ana mke mzuri na watoto wawili wa kiume, na nguvu za kiume zimerudi akiwa rijali kabisa.
Ushoga unatibika.
Hii ni kwa mashoga tu ama hata wanaogeuza wake zao?? Wabongo tuache unafiki watu mnanyonyana uchi wake kwa waume, mnageuza wake zenu n.k ila hampati madhara mpaka anayefanyiwa hivo awe shoga??Mashoga wanaathirika sana na tuvirusi tuzembetuzembe ambato tunaathi...[embu niache kuvidogosha sana mweš]...
Wanaathiriwa na virus kizembe Kwa sababu kinga ya mwili wao mara nyingi inashuka hadi wanaathirika na vidudu vinavyosumbuaga watoto watoto.
Kinga ya mwili inashuka kwa sababu nyinginyingi ikiwamo matumizi ya madawa ya kulevya, kuwa na wapenzi wengi na pia kutokana na shahawa kwenda maeneo yasiyotakiwa. Mfano shahawa ikipita haja kubwa kemikali zake husharabiwa kirahisi sana kwenye damu na hivyo kupunguza kinga ya mwili. Hata zikikaa tu humohumo kwenye mfumo wa utumbo na kuishusha kinga yake. Basi hupelekea kushindikana kucontrol bakteria waliomo tumboni hivyo kuzidi na kusababisha maambukizi pia katika damu 'septicemia'. Na hii imewezekana kwa sababu kinga ilishapunguzwa damuni kwa madawa na kemikali za shahawa pia.
It is still a theory mazee, maelezo hapo juu bado ni nadharia tu
Kufanya mapenzi kwa njia zisizo asili kote hakufai na kuna madhara, iwe aliyegeuzwa ni mme au ni mke haifai.Hii ni kwa mashoga tu ama hata wanaogeuza wake zao?? Wabongo tuache unafiki watu mnanyonyana uchi wake kwa waume, mnageuza wake zenu n.k ila hampati madhara mpaka anayefanyiwa hivo awe shoga??
Dhambi zote ni sawa tu so tusijione wasafi kuliko hao unaoona hawafai.
Wabongo tupunguze conspiracy theories, yaani chanjo na "666" zinahusiana nini? Mbona chanjo zimekuwepo miaka maelfu, hata huu ugonjwa ulikuepo miaka maelfu au hata enzi hizo uliletwa na hao hao jamaa?? Muwe mnasoma Biblia na kuelewa msiendeshwe na matukio.Hivi hawa ujawajua tu ajenda zao.zote hizi ni Kazi za darksiders hapo kuna ajenda wanataka kuipenyeza duniani.Hawa jamaa ni calculated sana.Walileta corona wakapiga promo wee duniani nzima ikalert kupitia media zao za propaganda mfano BBC, CNN,hizi media zikiripot kiti media zote duniani ufuata,wametimiza malengo yao kutest mitambo ya 666 kupitia chanjo leo corona haipo wapo wanapima matokeo ya test. Mimi sichanji na sitochanja wapumbavu Sana hawa darksiders, tunaijua michezo yao ya kuichezea Dunia.