Watapeli tu maana wajinga ndio waliwaoMimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Avartar yako inaendana nawe kwa angalau asilimia 75% weka namba nami nitume nitapeliweMimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chamdeko wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]... Dom mpaka KibaMimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mm 100% ndo maana siachi kutapeli maana picha yangu tu ukiiona kama mtakatifu mtoto nimejistiri unajua demu ndo huyu kumbe tapeli fulani hivi la Mzinga mbagalaKama Avartar yako inaendana nawe kwa angalau asilimia 75% weka namba nami nitume nitapeliwe
Chamdeko wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]... Dom mpaka Kiba
Jr[emoji769]
Naona penzi linafufuka upya.Ni mm 100% ndo maana siachi kutapeli maana picha yangu tu ukiiona kama mtakatifu mtoto nimejistiri unajua demu ndo huyu kumbe tapeli fulani hivi la Mzinga mbagala
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo unitapeli na mimi, jana nimeuza jiwe langu la dhahabu, nina milioni mia kasoro.....Labda kama sio Ngosha mimi!Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza wangu anavisenti vichache mfukoni ila anataka angoe demu kwa kishua akanambie nimsindikize baa kufika kanipa mchongo kwamba dogo pesa ninazo kidogo kwahyo nikinunua kinjwaji usiwe unakunywa mpaka nikukanyage kwenye mguu. Demu katimba wakawa wanapiga story uku wanasogeza kinywaji mdogo mdogo. Mimi yangu ipo kwenye glasi ila naona bro kakausha ataki kunikanyaga kama alivyo nitonya nikamwambia bro vp mbona unakausha nikanyage basi? Utajuwa mwenyewe kilichotokea.
Chamdeko wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]... Dom mpaka Kiba
Jr[emoji769]
Naona penzi linafufuka upya.
Safi sana.
Hawara hana talaka