Visa vya mashemeji

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Tuliowahi kuishi kwa mashemeji wakike au wakiume tuweke visa vyao hapa,

Binafsi.
Kabla ya kuanza kuchakata viazi kuwa chipsi nilikuwa naishi kwa bro wangu mtoto wa mama mkubwa ambae tayari alikuwa na mke na watoto wawili. Wakati huo niko chuo hivyo niliishi kwake ili nipate kampani.

Shemeji yangu alikuwa peace sana sema kitu kimoja tu kununa nuna. Aisee yule shemeji alikuwa na visa bwana siku akigombana na brother basi mtanuniwa nyumba nzima. Siku hiyo Yeye ataamka apike chai bila kuongea na mtu.

Atadeki, apike mchana mpaka usiku ni anakuwa wambuzi tu aongei na yeyote. Siku akinikuta na demu lazima anisemelee kwa broo. Wakati mwingine alikuwa anatoa maneno kutoka kwa demu wangu huyu ananichongea kwa mwingine.

Shemeji yangu yule alikuwa na visa haswaaa, kikubwa zaidi siku akichukia sana sana hapiki wala hakuna kula siku nzima.

Niliishi pale kwa bro miaka 2 pakanishinda nikatafuta gheto huyo nikajisepea kwenda kuchakata viazi kuwa chipsi.

Cc zero iq

CC Zero IQ
 
Mie niliwahi kuishi kwa broo...shemela alikuwa ananikubali kinyama wakati huo nipo Six, nilikuwa napiga kazi halafu katuni nyingi kwa hiyo ilikuwa burudan kwake.

Mara kaja mdogo wake alikuwa ticha primary mdogo tu, life styl yangu naye ikamkuna saana...mpaka akawa sasa ananipa mitego hatari..dada mtu kanyapia ...acha agonge wivu utadhani mm ndo babaa.

Uzalendo ukanishinda..pale bro kasafiri na mkewe tumebaki wawil ....
Skuvunga nikanyuka ..nyuka mpaka asubaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahahhaha Kuna watu wanamioyo ya ujasiri kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mbona cha ntoto!!! Unakula kabisa kile kitamu cha mwanaume mwenzio!
Km umeoa vile! Yeye mwenye ke ndo mfanyakazi! Ukicheza bin kulegea anaondoka nae akimaliza shule.

Sababu mpe shemeji likizo aje atulie km week hivi! Alinitunza sana.hii ni shukrani kwangu! Anarudi na mimba unalea! Bilakujua.

Huyu mleta mada aliheshimu sana alicheza nje ya kambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…