Habari Jaleleno MMU
Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..
Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.
I suffered alot na huyo mama nikisema nitoe habari zote mtachoka kusoma,kifupi yule mama alikuwa anaroho ngumu saanaa.Nyumba yake watoto wa kumzaa yeye tu hawakanyagi kwao.sembuse mimi?wala sikukosea na sina roho ya shetani kama ufikiriavyo ila wewe inaonyesha uko hivyo.Soma hapo blue kwa sauti. Una roho ya shetani. Tena wewe ukibahatika kuwa mwenye nyumba itakuwa balaa
Soma hapo blue kwa sauti. Una roho ya shetani. Tena wewe ukibahatika kuwa mwenye nyumba itakuwa balaa
kwani ushapanga nyumba ngapi hadi sasa!!... ila waliowengi majanga.
We shared the same thing, heri kwako ulilipa 15 mimi nilikuwa natoa hata 50,pungufu ikija 35.yeye anatoa ka 10 anasema before mimi alikuwa anatoa hiyo.Kuna chumba nilipanga maza house nae anaishi pale yuko divorced nahana kazi,nilikumbana na vituko sitasahau umeme kutwa nzima unazimwa 7/ week wanawasha saa moja jion na kuuzima tena 12 asbh kisa naambiwa laptop yng inamaliza umeme wakat huo natoa 15 kwa mwezi hela umeme,hapo nina pasi,laptop na taa basi.Vimbwanga vilikuwa vingi ilibid nihame niache kodi ya miezi 4
Inanikumbusha video mmoja ya ki Nigeria "Mama G," G for general.Habari Jaleleno MMU
Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..
Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.
I suffered alot na huyo mama nikisema nitoe habari zote mtachoka kusoma,kifupi yule mama alikuwa anaroho ngumu saanaa.Nyumba yake watoto wa kumzaa yeye tu hawakanyagi kwao.sembuse mimi?wala sikukosea na sina roho ya shetani kama ufikiriavyo ila wewe inaonyesha uko hivyo.
Asante.
Landlord Mwanamke