iddd aminialisema '' nyerere is beautiful if he was a woman i would marry her. naskia hapa nyerere akasirika sana.
kutokana na ukarimu wa malkia wa uingereza
idd amin akamshukuru akamwambia thank you when you come to uganda i will revenge. connotation ''revenge'' ikimaanisha kulipa ukarimu alioupata kutoka kwa malkia.