Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Nimetoka zangu misele nafika home mida kama ya saa tano na vidakika, naambiwa "nina hamu ya chipsi na mishkaki ya kwa mpemba, halafu iwekwe na ukwaju na tomato nyingi".
Daah town mbali ikabidi nigeuze chap hamna namna, cha ajabu nimerudi na alivyoniagiza nafika mlangoni tu ana niambia hizo chips mbona zinanuka usiingie nazo ndani zitupe hapo ni ngoma saba kasoro night, asee nilimaindi kishenzi.