Visa na vituko vya wanawake wajawazito kwa waume zao

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,433
12,282
Nimetoka zangu misele nafika home mida kama ya saa tano na vidakika, naambiwa "nina hamu ya chipsi na mishkaki ya kwa mpemba, halafu iwekwe na ukwaju na tomato nyingi".

Daah town mbali ikabidi nigeuze chap hamna namna, cha ajabu nimerudi na alivyoniagiza nafika mlangoni tu ana niambia hizo chips mbona zinanuka usiingie nazo ndani zitupe hapo ni ngoma saba kasoro night, asee nilimaindi kishenzi.
 
Broo wangu aliambiwa mida ya mchana kwamba jion njoo na muhogo wa kuchoma aksema sawa saa 2 usiku alipotoka kazini akapiga simu kwamba bado unautaka akaambiwa kama huji nao usirudi nyumbani n kasema ehhh
 
Nimetoka zangu misele nafika home mida kama ya saa tano na vidakika, naambiwa "nina hamu ya chipsi na mishkaki ya kwa mpemba, halafu iwekwe na ukwaju na tomato nyingi".

Daah town mbali ikabidi nigeuze chap hamna namna, cha ajabu nimerudi na alivyoniagiza nafika mlangoni tu ana niambia hizo chips mbona zinanuka usiingie nazo ndani zitupe hapo ni ngoma saba kasoro night, asee nilimaindi kishenzi.
sa saba ww ni muizi??
 
Nilikuwa naamshwa ucku na wife eti nienywe maji ya moto ni matamu
Sasa mm nipo na mikonyagi yangu kichwani full mawenge yani

Per night unaweza kumshwa hats mara6 unywe majo ya moto,aliyoweka kwenye chupa yake ya chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom