Collin Butondo
Member
- May 4, 2016
- 47
- 34
Gharama zako hujataja bei
Uko nchi gani?Service charges: USD 50
Uko nchi gani?
Tunaotaka kwenda canada au Qatar kutafuta maisha mnatusaidiaje na gharama zikoje
Weka hapa maelezo yatanufaisha wengiDm number yako, tuwasiliane
Sasa kama hivyo vyote natakiwa niwe navyo mimi wewe msaada wako ni upi????Documents za muhimu kuwa nazo:
— Passport
— Barua ya KAZI kutoka kwa MUAJIRI au BUSINESS LİCENCE na Tin number yako
— Flight Ticket Reservations
— Accomodation. (either ni Hotel Booking, au Family member anakuandikia barua inayoambatisha address yake na kuonesha utakaa huko specifically kwa mdaa gani)
Cha kuzigatia na watu wengi wanafeli hapa, ni kuonesha UNA NIA KWA KURUDI NCHINI.
Maombi mengi yanakataliwa kwasababu application zao hazishawishi kwamba huyu mtu anarudi NCHINI.
Huyu hawezi paper work huyu ni kama dalali anataka cha juu, watanzania wengi tunapenda biashara ya ngaji tu sio ya kuthink zaidi.Sasa kama hivyo vyote natakiwa niwe navyo mimi wewe msaada wako ni upi????
Nilijua maswala ya invitation unaweza nisaidia wewe, maana ndipo changamoto ilipo huko mbele wa kukutumia huo mwaliko.
Kweli mkuuHuyu hawezi paper work huyu ni kama dalali anataka cha juu, watanzania wengi tunapenda biashara ya ngaji tu sio ya kuthink zaidi.
Sasa kama hivyo vyote natakiwa niwe navyo mimi wewe msaada wako ni upi????
Nilijua maswala ya invitation unaweza nisaidia wewe, maana ndipo changamoto ilipo huko mbele wa kukutumia huo mwaliko.
Huyu hawezi paper work huyu ni kama dalali anataka cha juu, watanzania wengi tunapenda biashara ya ngaji tu sio ya kuthink zaidi.
SawaServices Offered:
1. Visa Consultation: We provide guidance on visa requirements, eligibility criteria, and application procedures for various countries.
2. Application Assistance: We help applicants complete visa application forms accurately and gather required documents.
3. Documentation Review: We review the applicant's documents to ensure they meet the embassy or consulate's requirements.
4. Appointment Scheduling: We assist in scheduling visa interviews or appointments with relevant authorities.
5. Visa Processing: We submit visa applications on behalf of clients and track their progress.
6. Expedited Services: We also offer expedited visa processing for urgent travel needs.
Visa Types: We handle various types of visas, including tourist, business, student, work, and immigrant visas.
We are typically well-versed in the specific requirements of different countries and visa categories. We keep up-to-date with changes in visa regulations and application procedures.
When considering using a visa agency, it's essential you reach out to Bryte Sky Links, for your specific travel needs.
Tunapatikana;
Physical Address: Office number 121, Ground floor
“White Beach Park” building, Tanki Bovu,
Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.
View attachment 2868124
Vizuri, sasa weka gharama zako kwa Tsh na si USDTunapatikana Mbezi beach, Dar es Salaam, Tanzania
Kwanini USD na sio Tsh? Ingali upo hapo tanki bovu?!Service charges: USD 50