Virusi hivi vya HIV nini chanzo chake?

Virusi hivi vya HIV nini chanzo chake?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Wakuu
Lleo ni siku ya Gonjwa linalonyima wanasansi usingizi . Any way issue hapa ni kuleta mjadala, mtazamo, maoni na dukuduku wa wanajukwaa wa teknolojia na sayansi

  • Chanzo cha HIV kuwa afrika ni theory ya kweli au tunasingiziwa?
  • Baadhi ya wasomi wansema imekuwa ngumu dawa kupatikana sababu ulimwengu umedanganywa chanzo . Je wewe una maoni gani?
  • Wengine wanasema kirusi cha HIV kilitengenzwa na wanasansi maabara huko USA ila kilivyoleta madhara ambayo hayakutegemewa ndiyo zigo likarushiwa sokwe
Wataalam wengine wametengeza documenatry amabyo ina hoja za msingi japo siziamini zote

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Hii ni mbinu ya nchi zilizoendelea kuendelea kuilemea africa na mabara mengine yaliyo maskini..naamini dawa ipo kitambo sana ila hawawezi kuitoa watapoteza power yao
 
Hivi kwa Tanzania ni mikoa gani imepokea kijitiki cha kagera cha maambukizi.
 
Hii ni mbinu ya nchi zilizoendelea kuendelea kuilemea africa na mabara mengine yaliyo maskini..naamini dawa ipo kitambo sana ila hawawezi kuitoa watapoteza power yao

your absolutely right!!!
 
Hii ni mbinu ya nchi zilizoendelea kuendelea kuilemea africa na mabara mengine yaliyo maskini..naamini dawa ipo kitambo sana ila hawawezi kuitoa watapoteza power yao

Wengine wanasema ndiyo silaa kuu ya kibaiolojia inayotumika kushambuliwa mataifa kama china na kuyapunguzia nguvu. Kuna prostitute wa kifilipino wanapelekwa china wa kazi hiyo Yaani ni kama WMD

Huko libya Kuna madaktari wa ulaya(probably mashushushu) walikutwa na hatia ya kuwaweka damu yenye HIV wwagonjwa wengi tu . Soma habari hiyo ya HIV tria in libya hapa wikipedia.

You see......
waat watu watu wanategema vita ya vifaru na mizinga basi wenzetu wako satge nyingine. Vifaru na mzingiza ni vya sisi kwa sisi kuuana. Karne hii ni ya biolgical war na cyber war

Anyway baadhi ya hizo ni conspiricy theory. za kwenye kahawa..........................mwe
 
Back
Top Bottom