Waungwana kuna anti virus naitumia kwenye PC yangu inayoitwa smadav nimejaribu kuscan naona naletewa ujumbe kama huo apo kwenye picha , lakin nikijaribu kufix hii ant virus inazingua naomben mwenye kujua anti virus nzuri ya kutumia kwenye PC ahsanten
kuna virus kiboko mkuu hujakuta nazo zinashambulia program na zip archive nimeweka malwarebyte mfano ni virus anaitwa win3:sality au salcode uyu anashambulia naiyo antivirus yenyewe anajua utaformat pc anawai kuingilia program zote ambazo hujainstall
iyo shida yako kwanza hiyo smadav sio antivirus najua trial inaboa nenda torrent kule search avast kagua ambazo sio cracked bali.ukute zina licence file zake download install weka licence.file alafu.update virus definitions baada ya hapo chagua boot-time scan restart pc yako itascan virus zote kabla.pc.haijawaka ni kuwafuta hasa virus zinazojificha na registry
Mbona siku hizi havipo tena? nina pc yangu mwaka wa 4 sasa sina antvirus yoyote, sijawahi kuona tena tatizo maana hata hizo antivirus ndio virus wenyewe maana zinafanya pc kuwa nzito
jamani mi pc yangu nikiiwasha au kama naendelea kuitumia kukiwa na notification yoyote ile inatoa sauti na kubalika rangi kwa sekunde kadhaa kisha inatulia, je hili ni tatizo, na kama ni tatizo suluhisho ni nini?
Mbona siku hizi havipo tena? nina pc yangu mwaka wa 4 sasa sina antvirus yoyote, sijawahi kuona tena tatizo maana hata hizo antivirus ndio virus wenyewe maana zinafanya pc kuwa nzito
kuna virus kiboko mkuu hujakuta nazo zinashambulia program na zip archive nimeweka malwarebyte mfano ni virus anaitwa win3:sality au salcode uyu anashambulia naiyo antivirus yenyewe anajua utaformat pc anawai kuingilia program zote ambazo hujainstall
iyo shida yako kwanza hiyo smadav sio antivirus najua trial inaboa nenda torrent kule search avast kagua ambazo sio cracked bali.ukute zina licence file zake download install weka licence.file alafu.update virus definitions baada ya hapo chagua boot-time scan restart pc yako itascan virus zote kabla.pc.haijawaka ni kuwafuta hasa virus zinazojificha na registry
Waungwana kuna anti virus naitumia kwenye PC yangu inayoitwa smadav nimejaribu kuscan naona naletewa ujumbe kama huo apo kwenye picha , lakin nikijaribu kufix hii ant virus inazingua naomben mwenye kujua anti virus nzuri ya kutumia kwenye PC ahsantenView attachment 1197426