jinsi ya kurudisha file zilizo potea au kufichwa na virus kwenye D: na flash kwenye pc yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi ya kurudisha file zilizo potea au kufichwa na virus kwenye D: na flash kwenye pc yako

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by networker, Sep 2, 2011.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kama ulikuwa na file zako ghafla hazionekani tena na hauja zi delete.na pia ume show all folders bado hazionekani ni kwamba kuna virus wame yaficha hayo mafile .njia ntakayo onesha ina rudisha mafile yako na pia mafile megine ambayo virus wame tengeneza cha kufanya mafile yakisha rudi futa yale yote ambayo huya fahamu na bakiza zile unazo fahamu.
  solution fungua cmd afu copy and paste au type hii kama unavyo ona ukikosea kidogo tu haita fanya kazi njia nzuri ni kucopy na kupaste sehemu ambayo ime andikwa g: una weza kubadilisha uka weka d: kam a file lililo potea liko kwenye d: ,c: doesnt support this ina sema acces denied coz ya uzito wake kiutendaji kazi na f: au any letter flash yako itakayo soma attrib g:\*.* /d /s -h -r -s ukisha paste press enter utaona cursor yako ina blink subiri hadi itakapomo maliza then ita leta mandishi some tym ina jina la mashine yako na letter c:

  hapo itakuwwa tayari katafute folder lako itakuwa imerudi

  note ; this is applicable kwenye D: na flash
   
 2. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,799
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu! Naomba msaada wa software ya Data recovery. External drive inakataa kufunguka inataka niiformat, naogopa kudelete files. Kila software ninayo download inataka licence key. Saidia please reasearch zimenata humo.
   
 3. I

  Imnyagi Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja niijaribu flash yangu imejipotelea na ma file yangu.
   
 4. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ni kweli mkuu, kuna hii njia rahisi pia, kama virus wamekula mafile yako na wameweka shortcut ambazo hazifunguki kwenye flash yako au disk yoyote basi usi format kwani mafile yako bado yapo sema tu ni virus wamebadilisha attribute state zake..cha kufanya hapo, weka flash yako, bonyeza windows key, andika 'folder options', au unaweza kufungua folder options kupitia control panel, baada ya hapo select view, select 'show hidden files, folders and drives' na pia unmark 'hide protected operating system files (recommended)'...kama kwenye picha hapo..kumbuka kurudisha hizi options kama zilivyokuwa, baada ya kupata mafile yako'..

  [​IMG]

  ukishalocate mafile yako basi unatakiwa ubalidilishe attributes za files zako ili zionekana kama zilivyokuwa awali,,click hilo file lililo hidden alafu properties, then unmark 'hidden' hapo chini kwenye attributes...

  [​IMG]
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba msaada pc yangu inawaka lakini inatafuta window haikamati inaendelea kusearh tu.wakati wa kuwaka inaleta maneno 'start windows nomarly' ukibofya enter ina search halafu inaleta neno system error file no 32 not found or corrupt click r for Repair
  Ukibonyeza r inaendelea ku search bila mafanikio .
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Tumia software ya RECUVA huenda ikakusaidia. Mie nlishawahi kuituimia na niliweza ku-recover files kutoka ktk formated hard disk.
  Inapatikana hapa
  http://www.piriform.com/recuva
   
 7. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kweli kabisa. Pia uki view hidden files and operating system files utayaona mafile yaliyopotea kama hivyo.
  Pia kuna software inaita USBSHOW jaribuni kuitafuta inatumika kurecover mafile na mafolder yote yaliyopotea namna hiyo na yanarudi kuwa kawaida
   
 8. Wakusini

  Wakusini JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 455
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 80
  Ahsanteni wakuu,nimeamini JF ni mambo yote! Napata mengi zaid ya darasa!
   
 9. networker

  networker JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  jaribu kuweka cd ya window uliyo nayo then repair,au instal window afu chagua option ya ku keep your files
   
 10. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
Loading...