Malick M. Malick JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 658 Reaction score 314 May 29, 2013 #1 Wataalamu wetu naomba msaada simu yangu imeingia virus ni blackberry 9085 naomba msaaada nifanye njia gani kuwaondoa natanguliza shukrani
Wataalamu wetu naomba msaada simu yangu imeingia virus ni blackberry 9085 naomba msaaada nifanye njia gani kuwaondoa natanguliza shukrani
M muudy Senior Member Joined May 25, 2013 Posts 156 Reaction score 22 May 29, 2013 #2 mimi nakushauri kwa njia ya kwanza kufanya master reset yaani ku restore factory setting or restore all
mimi nakushauri kwa njia ya kwanza kufanya master reset yaani ku restore factory setting or restore all
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 May 30, 2013 #3 Endelea kusubiri
jacksonkalinga Member Joined Feb 25, 2011 Posts 6 Reaction score 0 May 30, 2013 #4 Tafadhali subiri kidogo
chameli Senior Member Joined Jul 23, 2011 Posts 132 Reaction score 58 May 30, 2013 #5 Tafuta antivirus za phone ziko nyingi tu kwenye mtandao.
vyuku JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 503 Reaction score 87 May 30, 2013 #6 AVG yakutosha sana,tatizo la hizo black berry hd mnunue wakati sisi wenye andoid tupo freeee for everything.
AVG yakutosha sana,tatizo la hizo black berry hd mnunue wakati sisi wenye andoid tupo freeee for everything.