Virus katika simu

Virus katika simu

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
658
Reaction score
314
Wataalamu wetu naomba msaada simu yangu imeingia virus ni blackberry 9085 naomba msaaada nifanye njia gani kuwaondoa
natanguliza shukrani
 
mimi nakushauri kwa njia ya kwanza kufanya master reset yaani ku restore factory setting or restore all
 
Tafuta antivirus za phone ziko nyingi tu kwenye mtandao.
 
AVG yakutosha sana,tatizo la hizo black berry hd mnunue wakati sisi wenye andoid tupo freeee for everything.
 
Back
Top Bottom