Virus AUTORUN KANILETEA MAJANGA

Virus AUTORUN KANILETEA MAJANGA

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Niliingia cafe kudownloal issue flani kuiweka tu kwenye computer kwanza kuingia ikagoma then imeanza ku-gandaganda mpaka kero. Natumia antivirus ya SMADAV naona yaani ahisaidii kabisa kila nikiscan inaniandikia Registry 125 detected naikomand fix all lakini nikirescan tena inareport hivyo hivyo. Msaada wenu unahitajika wataaalam kuokoa jahazi.
 
Huyo Smadav ni msaidizi tu mwenyewe hivi hawezi kuondoa ila mtafutie antivirus wa kumwezesha.

SmadAV is an additional antivirus software that is designed to protect your computer. 1) Additional protection for your computer, 100% compatible with other antivirus software! Works with your primary antivirus as an extra layer of defense. 2) Best USB Antivirus (Total Protection USB drives)Prevent viruses that spread through USB stick drives. 3) Best for offline use (no need to update very often) Designed to be used with computers that are rarely or not even connected to the internet. SmadAV does not need to be updated as often as other antivirus. (Regularly updates once a month). 4) Cleaner and tools to clean the virus. SmadAV not only removes viruses but can also fix registry problems in infected machine.
 
nashukuru sana kaka sasa ni-download Antvirus gani ambaye ata fix Regisry pamoja na kuondoa tatizo la kuganda hasa unapohitji kusend ikifika kwenye send inaganda.
 
  • Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta
  • Napendekeza download na install moja kati ya hizi antivirus, utaondoa hilo tatizo na hautopata tena hilo tatizo
NOD32 AntiVirus 7.0.302.26 (32-bit)
Code:
[URL="http://www.filehorse.com/download-nod32-32/"]NOD32 AntiVirus 7.0.302.26 (32-bit) Download for Windows / FileHorse.com[/URL]
KEYS FOR UPDATING / INSTALLATION: utakuwa ukichukua hapa
Code:
[URL="http://hhuu.net/"]hhuu | nod123[/URL]
ESET NOD32 Antivirus is one of the most popular and trusted security utilities of today. Its legendary fame is supported by endless innovations in the field of antivirus protection.

NOD32 introduced optimization for low memory and CPU footprints, fast scanning, complete security package for both online and offline users and maximum protection from malicious software that can be found in online space, downloaded files, online gaming, social networks and in removable media.

Stay a Safe Distance from Internet Threats. Employing the time-tested NOD32 technology, the solution eliminates all types of Internet threats. The cloud-powered scanning delivers a higher level of protection, speeding up scans and ensuring that your system runs at its best.

Key Features and Benefits:

Antivirus and Antispyware
Employ proactive protection against all online and offline threats.

Cloud-powered Scanning
Benefit from faster scanning that uses online file reputation database for whitelisting safe files.

Anti-Phishing
Protects you from attempts to acquire sensitive information such as usernames, passwords or banking and credit card details by fake websites.

Scan While Downloading Files
Decrease scanning time by scanning large files already during downloading.

Removable Media Control
Block unknown CDs, DVDs, USBs & other media. Prevent unauthorized copying of your private data to external devices.

Host-based Intrusion Prevention System (HIPS)
Customize the behavior of the system in greater detail.

Social Media Scanner
ESET Social Media Scanner makes sure that the content of your wall, newsfeed and private messages are always clean.
​

  • Au Ingia kwenye huu uzi hapa JF ; Kuna AVG yenye keys za mwaka mmoja (1), na keys za miaka mitano (5)
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/518341-avg-antivirus-pro-avg-internet-security-2014-free-for-374-days.html[/URL]
Karibu
 
Last edited by a moderator:
Huyo Smadav ni msaidizi tu mwenyewe hivi hawezi kuondoa ila mtafutie antivirus wa kumwezesha.

SmadAV is an additional antivirus software that is designed to protect your computer. 1) Additional protection for your computer, 100% compatible with other antivirus software! Works with your primary antivirus as an extra layer of defense. 2) Best USB Antivirus (Total Protection USB drives)Prevent viruses that spread through USB stick drives. 3) Best for offline use (no need to update very often) Designed to be used with computers that are rarely or not even connected to the internet. SmadAV does not need to be updated as often as other antivirus. (Regularly updates once a month). 4) Cleaner and tools to clean the virus. SmadAV not only removes viruses but can also fix registry problems in infected machine.
Mkuu big up. Mimi pia ninatatizo katika tofauti na mwenzangu. Nimechemsha katika application ya Publisher. tafadhali kama una idea ya hii kitu nisaidie au wanajamii mlioko mtandaoni niwezesheni mwenzenu. Nimeshindwa ku-print Booklet ambayo nataka katika karatasi ya A4 kuwe na kurasa nne. Nina wiki tatu sasa nahangaika nisaidieni.
 
nashukuru sana kaka sasa ni-download Antvirus gani ambaye ata fix Regisry pamoja na kuondoa tatizo la kuganda hasa unapohitji kusend ikifika kwenye send inaganda.
  • Swala la PC clean Up na ku_fix Registry tumia ccleaner, hii program ni bure na ninzuli.
​
2806__CCleaner4_1.png
Title: CCleaner 4.07.4369
Filename: ccsetup407.exe
File size: 4.18MB (4,379,048 bytes)
Requirements: Windows 2000 / XP / Vista / Windows7 / XP64 / Vista64 / Windows7 64 / Windows8 / Windows8 64
Languages: Multiple languages
License: Freeware
Date added: October 24, 2013
Download Link: CCleaner 4.07.4369
Karibu
 
  • Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta
  • Napendekeza download na install moja kati ya hizi antivirus, utaondoa hilo tatizo na hautopata tena hilo tatizo
NOD32 AntiVirus 7.0.302.26 (32-bit)
Code:
[URL="http://www.filehorse.com/download-nod32-32/"]NOD32 AntiVirus 7.0.302.26 (32-bit) Download for Windows / FileHorse.com[/URL]
KEYS FOR UPDATING / INSTALLATION: utakuwa ukichukua hapa
Code:
[URL="http://hhuu.net/"]hhuu | nod123[/URL]
​

  • Au Ingia kwenye huu uzi hapa JF ; Kuna AVG yenye keys za mwaka mmoja (1), na keys za miaka mitano (5)
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/518341-avg-antivirus-pro-avg-internet-security-2014-free-for-374-days.html[/URL]
Karibu

Asante sana Mwl.RCT ngoja ning'ang'ane tuone ntarudisha feedback kaz njema.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ushauri wangu mimi, Ni vizuri udownload avast free antivirus. Utaipata bure kwa siku 374. Na avast inaaminika sana kwa kuwa inadetect na kuondoa virus mpaka vya zamani sana kwa kuwa ni mojawapo ya antivirus zilizoanza kutegenezwa miaka ya nyuma. Download antivirus na uingie tovuti yao, u-submit email yako kisha watatuma keys kwenye e-mail yako.
 
Back
Top Bottom