"Virungu" vimezidi...

Vipi humu mmeamkaje jamani?naona mko powA kabisa za masiku mingi?kila siku nakuonaga unaenda kazini
hihihi kikiki
Ahaa sie mambo bado magumu bana ila kuna michongo nafatilia mambo yatakuwa powa sana
Wewe naweza kukuchukulia hata mchunba ukampa shem ya kuendea sokoni kama ka ist waonaje mkuu
Saaa mkuu nina shida ndugu yangu japo hata ka fifute hivi ntakurudishia kesho
Naona umejiwahi kujitetea kwa kuwa huu ni mwisho wa mwezi
Ebu nigei aasee
 
Ghafla JF imegeuka kua ya watu wote Ni waajiriwa na hua wanapigwa mizinga tu.
 
Unashindwa kuwakatalia huko mpaka uje ututangazie?
 
Mimi kuna jamaa yangu aliniomba nimkopeshe kiasi fulani nikampa, kabla hajalipa mwezi uliofuata akaniomba tena pesa nikampa, next month akanipiga tena kizinga nkamwambia sina. Akaniblok mana akaniona ni jitu baya nsiyefaa tena.
 
Omba omba sio wa kuwaendekeza, saidia wale ambao unaona kweli wana shida.

Bora wakuite mchoyo kuliko kukuchuna kila wanapojiskia utashtukia hufanyi maendeleo hela zinaishia kugawa kwa watu wasio na faida.
Dada mzuri acha uchoyo
 
Vp kuhusu michango ya harusi mleta mda anaongelea virungu kutoka kwa ndugu au jamaa na marafiki, harusi watu wanachangia sana kadi kama 10 unapokea na zote unachangia ila ndugu akiomba msaada malalamiko kibao basi na harusi tuache kuchangia
Afu wakipatwaga na masaibu wanakimbilia kwa ndugu hao hao.
 
Huwa naomba dolari, japo sipewi ila nitazidi kumbuguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…