Ngoja tuwaone watu wa mikoani walivyoadhirika
Ugali na matembeleDar?? ndio nini?
Ugali na matembele
Hiko kicheko au kilio?
MixerHiko kicheko au kilio?
DuhMixer
Simba bwana mna vimbweka sana utanishika Ubaya mwaka huuDar?? ndio nini?
umenifurahisha kweliDaah iliku mwaka fulani aisee sitasahau natokea mabonde kuporomoka to Tanzania mjini.
Kwanza kabisa nilikua nimebeba begi langu na fungo la mahindi mabichi nikiwa nakaribia kufika Ubungo father akawa ananiambia chunga begi ubungo kuna wezi sana.
niliposhuka nikalibeba begi mtindo wa kukumbatia lakini hata hao wezi wala watu wengi sikuwaona..
Nilipofika kwa mwenyeji wangu tabata nikaanza misere pekee yangu nikakosa njia ya kurudi home maana nilifika hadi tazara on foot.
sikumoja nikawa nataka niende chanika nikaambiwa panda gari limeandikwa buguruni to chanika upande wa kushoto mm nikaenda kupanda upande wa kulia nikamwambia konda anishushe chek point mara naona gari limesimama halafu wanasema ndio mwisho wa kituo kumbe nimeenda Buguruni badara ya chanika. nikawa nazunguka hapo nimeshaliwa 300 ya nauli nimebaki na 700, nikatokea lile daraja la buguruni nikapanda juu kabisa nikiwa naiangalia TZ mjini mara wakaja watu wakaniambia nilipie daraja sh 500 wakanikazia hadi nikatoa. safari ikafia hapo nikarudi TBT kwa miguu.
sitasahau aisee...
tupe uzoefu wako na wewe
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]