Waambie unakwenda kuripoti kwa Magufuli kupitia mtandao! Na ingekuwa vizuri zaida kama ungetaja hilo geti liko wapi: mkoa, wilaya, kata na geti husika na watu waliopo!Nimejilimia kampunga kangu na nina viloba kama 8 hivi nimevipiga kwenye kitani 2 changu narudisha nyumbani ,sasa shida kuna jamaa hapa getini wanahitaji ushuru kwa gharama ya 4,000 kila roba,sasa naombeni kuuliza hivi hizi sheria za ushuru zikoje huwa zinaruhusu kumtoza mtu ushuru kwa viroba alivyojilimia mtu kwa ajili ya chakula? .Na kama inatakiwa ulipia ni kwa gharama gani kwa roba?Naomba kuwasilisha wakuu.
Yeye ana two tonesKwani jpm si alisema hakuna kulipa ushuru was mazao kama mzigo wenyewe haujafikia tani moja? Akasema hata kama mzigo umefika tani moja mkulima anaweza akabeba kilo 500 kisha akarudia tena hizo nyingine 500 ili asilipe ushuru...
Waambie kwani hawakumbuki agizo la raisi kuhusu ni kiasi gani cha mzigo kinatakiwa kutozwa ushuru?
RUDISHA BEBA MOJAMOJANarudisha mazao shambani mzee