The Old meee, siyo lazima uoneshe kila kitu unachokumbana nacho huko, ni ushauri tu, maana hawa 'ke' wa kwetu walio wengi wanapenda kujaribu kila kitokacho 'juu'.
Tuhurumie ndugu zako.
Kamuzu, unaogopa kuanza upya harakati za kuiondowa?
Unaitumia kutwa mara ngapi?
Unaitumia kutwa mara ngapi?
Uki-Overdose vipi? Kitumbua Kwishney?
Hilo halinipi tabu, shida ipo kwenye madhara yatokanayo na hizo kemikali, usijekuta imeziba kabisa, nani anajuwa
Kamuzu hiyo si bidhaa ya kichina? Unatupa na kutafuta rahisi nyengine!
Mkuu, simaanishi bidhaa, bali mtumiaji, badala ya kumletea matokeo mazuri inaweza sababisha tundu kuziba!
Ikitokea hivyo unafanya nini?