Virefu vya masomo-masekondari

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
wanajamii kama unajua vilefu vya masomo wakat uko sekondar tupia hapa.mfano HGL=House Girl wa London.PCM=People Confuse my Mind. nawasilisha kwenu.
 
Siku nyingi sana hii,miaka ya mwanzo 90.Kumbe bado nanyi mnatumia?Not so bad boy!
 
Teh..tuition za kuwaweka buzy hazipo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…