Vipulizo kwa madereva walevi

ong'wafaza

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
245
105
Ni kwa kiwango gani makusanyo ya kodi Serikalini yataathirika kufuatia mtindo wa askari kuwavizia madereva wanaotoka kwenye ulevi na kuwapima kilevi na kisha kuwapeleka sero?

Hii si inatokana na ukweli kwamba asilimia kuwa ya makadirio ya bajeti ya serikali yanatokana na pombe?
 
Back
Top Bottom