Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,226
Alafu uwe likizo au week end maana baada ya hapo ni kuuchapa tuHivi kuna kifungua kichwa kizuri bila kiporo. Asubuhi umeamka zako baada ya kuswaki muda wa chai ukute wali maharage wa jana na chai ya rangi yenye mchachai wajameni. Hizi ndo chai za kibabe huwezi kuzipata kule magetini isipokuwa huku kwetu uswazi eti. Eti chai cha blue band au jam unataka uone maajabu gani saa tano njaa hadi machozi yanatoka🤣
Unaenda wapi tenaViporo vingine ni sumu.. Haviliki
🤣Alafu uwe likizo au week end maana baada ya hapo ni kuuchapa tu
Ongezea nyama Biharusi, umasikini kiaje?Uwo wote umaskin
Hatupashi vipolo mahi dihaOngezea nyama Biharusi, umasikini kiaje?
Bali nyie mnafanyaje?Hatupashi vipolo mahi diha
Tuna pata break fastBali nyie mnafanyaje?
Hatari sana wewePata kiporo la maboga miksa arage na chai ziwa zito la moto na hii baridi kwisha
Isipokuwa chai iwe ya motoHatupashi vipolo mahi diha
No need of mosquito expelWali nazi, harage nazi na chai ya rangi ya mdalasini ,karafuu na mchaichai......baada ya muda ukiachia ufyuzi mbu wote kwisha 😀
Ni fupi sana ongezea minyamaUwo wote umaskin
Wabeja sanaKiporo cha Ugali maharagwe mchacho ndio cha wababe wa state!
Hiiiii bha ghoshaaa!