vipimo vya bongo co inshu

mwaimu jr.

Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
8
Reaction score
0
kapima mara 4 zote anangoma mara ya tano hana duh vpmo vya bongo co inshu
 
kapima mara 4 zote anangoma mara ya tano hana duh vpmo vya bongo co inshu

pole sana...tafuta wastani!..Lol
kama mtu anafanyiwa operation ya jicho badala ya mguu...kwenye vipimo si ndo blaaa!..
 
pole sana...tafuta wastani!..Lol
kama mtu anafanyiwa operation ya jicho badala ya mguu...kwenye vipimo si ndo blaaa!..
Hahahaaaa dogo hapo umesema kitu ingawa nimecheka maana ni kituko ila ndo ukweli...
Akipata wastani atajua aliko
 
jaman co mim niliepima ni rafik yangu.,mi kwanza cko interest na kupima kabisa.,lol
 
yap kwel huyo kirus hajafika na akifika 2 we unaemuulizia ndo utakae anza nae coz anakuja kwa wa2 wanaomtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…