dendaboy JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1,091 Reaction score 744 Nov 24, 2016 #1 kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?
kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?
Kutwa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 247 Reaction score 770 Nov 24, 2016 #2 Kama hawakushtuka mapema hii post yako itawashtua.