kutaka ukubwa na kuheshimika, kulinda familia na kugombea wanawake Lol
weka
Nimekuelewa zaidi ya ufikiriavyo,
nikaongeza na swala lingine moja wapo kati ya nature zenu "kutia mabeki tatu reference ikiwa ni Ibrahim alilala na mjakazi wake" na nimekukumbusha kuwa "mmesahau na kuhudumia mwanamke ni nature yenu pia"
from there haya nieleweshe nlipochanganya
Yaani natamani siku Muumba afanye hiyo Dushelele lingekuke kuwa kama pencil inavyopungua ikichongwa, Ukichapa inapungua, ukichapa inapungua hadi kirudi kiwe kama kifutio...Sijui utaingiza wapi tena zaidi ya kuduwaa km khanisi
refer kwenye maandiko ya vitabu vya MUNGU,bible na quran wazee wote walikuwa na wake wengi,haya mambo ya mke mmoja kayaleta Yesu ni ni kwa sababu alikuwa hajaoa ,angeoa angejua kuwa hata mke mmoja hatoshi ,hata babu yako alikuwa na wake wengi uongo kweli
Vere true...utaona watakavosimamisha sharubu kutetea kuwa hiyo ndo nature
mwanaume kuwa na wanawake wengi nature! kutembea na beki tatu nature!
nature my a.s.s hakuna cha nature wala professor ufuska tu.
msituone tumekaa kimya hapa mbona na nyinyi kusingizia wanaume mimba zisizo zao mnaona ndo habari ya mjini semeni hapo pia sio hayo tu!!!
naona umekuja na pilipili manga mkononi kuziweka kwenye chai mbona sio mahala pake? subiri muda wa uji utaziweka....
Watu hapa naona hawajamuelewa mtoa mada.....mtoa mada hajasema eti kila mwanaume anachepuka...... anasema kwamba mwanaume yeyote ana asili ya kutamani mara kwa mara...hata kwenye biblia tunaliona hilo jamani.... Daudi pamoja na kumpenda Mungu na toba aliyokuwa nayo mbele za Mungu alianguka kwenye uzinzi....hatujiulizi ni kwa nini hakuanguka kwenye dhambi nyingine isipokuwa kwenye uzinzi tu???? Believe or not...mwanaume yeyote ni poligamous in nature. Mwanaume akiwa loyal kwa mkewe ni kwa sababu kuna akili inayomzuia kufanya hivyo....pengine ni sababu za kidini...anaogopa kumtenda Mungu dhambi, Inawezekana ni mapenzi tu na heshima aliyonayo kwa mkewe hataki kumuumiza, pengine ni heshima aliyojijengea kwenye jamii yake anaona watu watamuonaje, pengine anaogopa magonjwa yatokanayo na kujamiiana na kadhalika.....kwa hiyo mwanaume anaweza kuwa hachepuki physically lakini psychologically anachepuka sana tu huo ndio ukweli hata mkibisha. Mwanaume yeyote ukitoa ile rationality ambayo kila mtu anayo wanapenda wabadilishe ladha tofauti tofauti....hivyo ndivyo walivyo
Siku zote anayekula kwa mikono miwili hashibi, tusing'ang'anie ndoa zaidi ya moja wakati ata moja tulizonazo zinatushinda, tumesahau tulipo? mbona kila kukicha baadhi ya vidume wenzetu wamekuwa wakitafta tiba ya nguvu za kugonoka?
tulitatue kwanza tatizo letu ndiyo tuendelee na katiba mpya ya kupata ndoa zaidi ya moja.