Habari zenu wana jamvi
kuna msemo kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa wanaume wote rijali ni Polygamous au wengine wanasema ni womanizers au kwa kiswahili kizuri wanaume rijali ni wanapenda kumiliki japo mara moja katika maisha yake mwanamke zaidi ya mmoja
- wanaume wengi katika maisha yao hata wakiwa na mke mmoja anaweza kuwa anatembea na mwanamke wa nje kisirisiri
- inawezekana hasiwe na mwanamke ila anatamani sana wanawake flani flani na sifa flani flani japo ana mke ndani
- kujidhibiti kwa mwanaume kutokuwa na mwanamke nje inawezekana pia kwa sababu za imani au jambo lingine ila kuhalisia wanaume hupenda mwanamke zaidi ya mmoja kadiri umri unavyosonga
- kuzaa nje kwa wanaume wengi ni jambo la kawaida sana katika jamii
- kuthaminisha kwa "MACHO" wanawake wa nje hata kama hutowatongoza ni kawaida sana
sasa mi najiuliza sana ama kwa kuwa wanaume ni kama madume ya wanyama au ndege tu?
si ajabu zizi la ng'ombe 10 kukawa na dume moja, si ajabu jogoo mmoja kwa matetea 4 na maisha yanaenda
KUNA UKWELI HAPA?
nawasilisha
UKWELI ni ukweli tu ata ukipindishaje......hata hivyo takwimu zaonyesha wanawake ni wengi duniani so labda ndio maana??
Unajua tamaa n upendo wa mwanaume huanzia kwenye kuona. Mungu vizur vingi vyenye kupendeza machoni ni vinavyo faa kwa kuliwa, so tukipenda tunafata. Pia mwanaume hujion mtawala kwenye kumiliki, huu ni ukweli.
refer kwenye maandiko ya vitabu vya MUNGU,bible na quran wazee wote walikuwa na wake wengi,haya mambo ya mke mmoja kayaleta Yesu ni ni kwa sababu alikuwa hajaoa ,angeoa angejua kuwa hata mke mmoja hatoshi ,hata babu yako alikuwa na wake wengi uongo kweliVere true...utaona watakavosimamisha sharubu kutetea kuwa hiyo ndo nature
mwanaume kuwa na wanawake wengi nature! kutembea na beki tatu nature!
nature my a.s.s hakuna cha nature wala professor ufuska tu.
mila na desturi ndio unaoa hata 30...au desturi unakusudia zipi?
refer kwenye maandiko ya vitabu vya MUNGU,bible na quran wazee wote walikuwa na wake wengi,haya mambo ya mke mmoja kayaleta Yesu ni ni kwa sababu alikuwa hajaoa ,angeoa angejua kuwa hata mke mmoja hatoshi ,hata babu yako alikuwa na wake wengi uongo kweli
Vere true...utaona watakavosimamisha sharubu kutetea kuwa hiyo ndo nature
mwanaume kuwa na wanawake wengi nature! kutembea na beki tatu nature!
nature my a.s.s hakuna cha nature wala professor ufuska tu.
Hongereni, mngepewa na mbouo zaidi ya moja ili muenjoy zaidi hiyo natureHonestly wanaume ni nature yetu kumtaka kila mwanamke mzuri....SORRY kwa kutumia neno nature ila ndio ukweli wenyewe
Dume haliridhiki na jike moja kadiri muda unavyoenda dume hutamani majike mengine...aisee ni sheeedah
,angeoa angejua kuwa hata mke mmoja hatoshi