Vipi mshahara wa March tayari?

Vipi mshahara wa March tayari?

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Je huyu Magufuli ameshatukumbuka maana kazini ameongeza Masaa ya kuchapa kazi katukumbuka?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
serikali yangu kwa sasa haina pesa. labda msubiri hadi tarehe 10april nitawawekea nusu. kwani kwa sasa watu hawatoi kodi na me nategemea kodi kwahiyo kwa sasa sina hela... we piga kazi
 
wafanya kazi wa serikali ya Magu mwezi bado haujaisha mnalilia mshahara ongezeni vyanzo vya kujiingizia mihelaaaaaa mtabaki mnalia ivo ivo leo mishahara haikutani😵😵😵😵😵😵
 
Ndiyo kwanza tarehe 22 mkuu, kuwa na subira
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kameshatoka kamshahara.
Najenga picha ndo ningekuwa naishi kwa mshahara tu sijui ingekuwaje. Kitendo alichokifanya mr.Mchochezi cha kutunyima ongezeko huku akiendelea kujiona ndiye mnyoosha nchi kinadhihirisha wazi kuwa mr.Mchochezi ni mtu mwenye ufahamu mdogo, angekuwa na ufahamu mkubwa angejua mchango wa watumishi katika kujenga taifa bora.
 
Back
Top Bottom