via RFA nilikisikia kuwa polisi wamwambia HK aandamane na watu wake 1/2km tu hadi uwajani naye alilishukuru jeshi la polisi kwa hiloNaomba kujua Yale maandamano ya amani yafanyike jana huko Nzega yaliyoandaliwa na mbunge Hamisi Kigwangalla, je yalifanyika?
Kigwagallah yupo busy anasukuma kilaji huko Dom aje ahangaike na maandamano
Naomba kujua Yale maandamano ya amani yafanyike jana huko Nzega yaliyoandaliwa na mbunge Hamisi Kigwangalla, je yalifanyika?
Maandamano yalifanyika na yalifana sana! Anayeponda aponde, lakini ajue hayamhusu na wala hayakuandaliwa kwa ajili yake!
Mheshimiwa, nadhani wanaokupinga na kukwamisha jitihada zako za kuwatetea wapiga kura wako siyo wapinzani bali wabunge wa ccm na uongozi wa chama chako chenyewe.Yalifanyika na yalitisha sana! Kazi ilikuwa nzuri, wananchi walijitokeza kwa wingi na mkutano ulikuwa mkubwa japokuwa polisi walikuwa wengi sana, hali iliyotishia baadhi ya watu kujitokeza, soma kwenye youtube utaona kuna video imepostiwa kule pia kwenye Facebook page yangu utaona link ya picha na videos, usiwasikilize wapinga kila kitu cha wabunge wa CCM. Watu hupenda sisi tuwaunge mkono wabunge wa upinzani ila sisi tupingwe kila kitu....double standards!
Toba. Kiongozi huyo!!!Maandamano yalifanyika na yalifana sana! Anayeponda aponde, lakini ajue hayamhusu na wala hayakuandaliwa kwa ajili yake!
Tunawapinga sababu mbunge wa ccm kuitisha maandamano dhidi ya serikali inayoundwa na chama chake does not make sense at all. Labda kama mlikuwa mnaandamana kuunga mkono kauli za nape kwamba wanaokimbia ccm ni oil chafu.Yalifanyika na yalitisha sana! Kazi ilikuwa nzuri, wananchi walijitokeza kwa wingi na mkutano ulikuwa mkubwa japokuwa polisi walikuwa wengi sana, hali iliyotishia baadhi ya watu kujitokeza, soma kwenye youtube utaona kuna video imepostiwa kule pia kwenye Facebook page yangu utaona link ya picha na videos, usiwasikilize wapinga kila kitu cha wabunge wa CCM. Watu hupenda sisi tuwaunge mkono wabunge wa upinzani ila sisi tupingwe kila kitu....double standards!
Mh dr kigwagallah bado hujajibu hoja wewe unategemea matokeo ya maandamano yako itakuwa nini?nadhani watakuleteeni picha nyingine muda si mrefu...blog yangu imevamiwa na hivyo inarekebishwa kwa sasa, kule ziliwekwa picha nyingi kidogo zaidi ya hii moja tu iliyowekwa youtube
I initially thought kwamba yangedoda, kwa sababu ya short notice kwa kuzuiliwa na police na pia siku yenyewe kulikuwa na polisi (FFU) wengi sana unnecessarily, lakini on a contrary yalifana sana...watu walijitokeza kwa wingi kuliko maelezo, binafsi sikutegemea kwa kweli!Yalidoda!