madala mujipa JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,421 Reaction score 864 Apr 19, 2017 #1 Habari wadau Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna la kupost
Habari wadau Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna la kupost
madala mujipa JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,421 Reaction score 864 Apr 19, 2017 Thread starter #2 Hata wale wa vichwa vya habari vya magazeti bila maelezo siwaoni kunani palee
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,947 Apr 19, 2017 #3 Hakuna sababu Magufuli amepewa dawa zake ametulia.Bashite huwa anapanga pa kuvamia
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Apr 19, 2017 #4 Ulitaka kupostiwe nini nawe umeshapost
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,728 Reaction score 34,860 Apr 19, 2017 #5 Sasa hivi tupo Pyongyang
madala mujipa JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,421 Reaction score 864 Apr 19, 2017 Thread starter #6 ras jeff kapita said: Sasa hivi tupo Pyongyang Click to expand... hapo nimekusoma
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,892 Reaction score 29,710 Apr 19, 2017 #7 Vuta subra kidogo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,659 Apr 19, 2017 #8 madala mujipa said: Habari wadau Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna la kupost Click to expand... mbona magazeti nimeona uzi wake
madala mujipa said: Habari wadau Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna la kupost Click to expand... mbona magazeti nimeona uzi wake
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,659 Apr 19, 2017 #9 Kurasa za mbele za Magazeti ya leo, haya tujadili
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,722 Reaction score 21,959 Apr 19, 2017 #10 Harmo Rapa saa nane atakuwa kikaangoni EATV, tukutane kule
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Apr 19, 2017 #11 Tupo Korea kwa mnyoa kiduku!