Zote ni nzuri sana zipo confortable ukikaa ndani , mimi nazipenda sana hizi gari kwa speed ya 180 cresta utaipenda maana inatulia barabarani, hata mark II
gx 100 cresta iko poa sana kuliko mark II sababu ya consuption. Cresta engine yake ni v vti hainywi sana (1ltr=9km) ila mark II ni v6 (1ltr=7-7.5km)
Nimezitumia zote.
Wakuu samahani kwa kuingilia post ya mtu.Nami napenda kuifahamu TOYOTA SIENTA.Nimetokea kuipenda sana hii gari lakini naziona chache sana mtaani.Je,zina tatizo lolote sugu? Matumizi yake ya mafuta yakoje? Na pia upatikanaji wa spare zake.Naamini kuna watu humu watakuwa wazijua vizuri hizi gari.Naomba kuwasilisha.
gx 100 cresta iko poa sana kuliko mark II sababu ya consuption. Cresta engine yake ni v vti hainywi sana (1ltr=9km) ila mark II ni v6 (1ltr=7-7.5km)
Nimezitumia zote.