Vipi Kuhusu Daraja La Kigamboni

Vipi Kuhusu Daraja La Kigamboni

Chimo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2008
Posts
714
Reaction score
364
Wanajamvi Nipo nje ya nchi kwa muda sasa ila kupitia Runinga nimeona vitu viwili vyenye kunitatiza, kwanza nilitazama Chanel 10 nikaona taarifa kuhusu kuharibika kwa kivuko cha MV.Magogoni kinachofanya kazi kama kawaida yake ya kuvusha watu na mali zao kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Pia nilipata kuangalia Kipindi cha Hot Mix Kutoka EATV Nikaona kuna makubaliano baina ya NSSF na Real Madrid ya uhispania kuhusu kuingia mkataba wa kujenga kituo cha kuendeleza soka youth academy.
Nachotaka kufahamishwa ni kuwa sasa MV. Magogoni ikiwa kweli imeharibika na daraja likiwa limefikia hatua nzuri ya kueza kupitika itakuwa faraja maana daraja hilo navyofahamu linajengwa kwa ufadhili wa shirika la hifadhi taifa ya jamii NSSF ambao sidhani kama watakuwa na chembe ya kuzorotesha uendelevu wa mradi huo. Na kukimbilia kusaini mkataba wa mradi huo mwingine wa real.
 
Attachments

  • 1422554323304.jpg
    1422554323304.jpg
    53 KB · Views: 306
  • 1422554356745.jpg
    1422554356745.jpg
    53 KB · Views: 302
Wanajamvi Nipo nje ya nchi kwa muda sasa ila kupitia Runinga nimeona vitu viwili vyenye kunitatiza, kwanza nilitazama Chanel 10 nikaona taarifa kuhusu kuharibika kwa kivuko cha MV.Magogoni kinachofanya kazi kama kawaida yake ya kuvusha watu na mali zao kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Pia nilipata kuangalia Kipindi cha Hot Mix Kutoka EATV Nikaona kuna makubaliano baina ya NSSF na Real Madrid ya uhispania kuhusu kuingia mkataba wa kujenga kituo cha kuendeleza soka youth academy.
Nachotaka kufahamishwa ni kuwa sasa MV. Magogoni ikiwa kweli imeharibika na daraja likiwa limefikia hatua nzuri ya kueza kupitika itakuwa faraja maana daraja hilo navyofahamu linajengwa kwa ufadhili wa shirika la hifadhi taifa ya jamii NSSF ambao sidhani kama watakuwa na chembe ya kuzorotesha uendelevu wa mradi huo. Na kukimbilia kusaini mkataba wa mradi huo mwingine wa real.

Sasa ndio umetoa taarifa au umeuliza swali?
 
We unaonaje? Ni taarifa hiyo!
 
Limeshaisha zamaaan mbona kuna mambo mawili ndo yko ktkt hatua za mwisho kigoma kuwa Dubai na meli mpya ziwa Victoria.
 
Tuliahidiwa ni mwezi wa march ikashindikana, tukaambia ni wa tano, ikashindikana, tukaambiwa tena mwezi wa. Saba, ikashindikana.tukaambiwa ni mwanzoni wa mwezi wa tisa, sasa naona ni katikati ya mwezi wa Tisa.lakini pale ukiangalia kitaalamu na kwa speed inayoonekana pale, ni dhahiri kuwa mwaka huu haliwezikukamilika. Sasa kwa nini wanatudanganya?. Ebu Kama kuna yeyote anayejua sababu ya kukwama huku ni nini basi atuweke sawa. Ili Kama tatizo ni pesa, basi tufanye harambee tumechoka.
 
Back
Top Bottom